Ni hali ya kawaida, na wala hiyo sio mara ya kwanza na sio kwao tu..
Ninaye Ndugu, yeye mkewe mpaka alianza kuumwa magonjwa nyemelezi, katika kupima ndio ikagundulika mkewe anao. Mume( ndugu) hana, Mke akakataa kutumia Dawa, akawa chapombe, Ni miaka mitano toka amegundulika na miaka mitatu toka amefariki. Akaacha watoto.
Hivo kwa inshu yenu
Mke wa Jamaa aendelee na Dozi vzuri , Kula vzuri.
Jamaa awe karibu yake, amkumbushe mke kutumia dawa, klinik n.k
Wakubaliane kua waendelee kulana lkn kwa matumizi ya kondom.
Kwa mimba zijazo , Mechi itapigwa kavu na isiyo yakukamiaa, huku mke akiendelea na Dozi
Ona maajabu sasa.. Hapo jamaa alikua hajajua kama mkewe yuko na maambukizi akawa anapiga tu vzur na ametoka salama...
Ila saizi amejua, akisema aendelee kupiga kavu, mechi tatu sio nyingi anaukwaa pia.