Recent content by Kyakukanwa

  1. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    11 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania IKULU, Rais Magufuli akutana na Wakuu wa Mikoa na kuwaagiza wagawe mashamba yasiyoendelezwa

    Angalia nyuma PM picha ya pili...
  3. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani unaweza kuflash simu yako

    SONNY EXPERIA C4 tafadhali..
  4. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Huenda wanataka awaonyeshe vyeti alivyosema anavyo vya Bashite
  5. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Only a genius can attempt this

    'THE SHIP'
  6. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi waamua kuongoza magari kinyume na trafiki ili gari lao lipite Ubungo mataa

    Umesema kweli...polisi wanajifanya kuwavimbia wajeda na ndo hapo nao wajeda wanaonyesha jeuri yao..
  7. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi waamua kuongoza magari kinyume na trafiki ili gari lao lipite Ubungo mataa

    Ukweli hao wanajeshi mie siwalaumu hata kidogo... Hao polisi wanadharau kazi za wenzao ila wao wanajipendelea zaidi. Ukifuatilia utagundua kuwa traffic police akiiona tu au akijua gari lao liko mwelekeo fulani basi ataivuta hiyo njia mpaka wapite...lakini ni tofauti inapotokea gari la Jw hata...
  8. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    Ahsante sana mkuu...umetupa mwanga mkubwa sana juu ya taasisi hii ya muhimu kwa taifa. Ukweli umejibu maswali yangu mengi sana niliyokuwa nayo juu ya hawa jamaa...
  9. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Bunge laahilishwa mpaka kesho asubuhi

    Umesomeka mkuu...
  10. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbaya maeneo ya TSN Mikocheni

    Jamani daladala hizi! hivi kwanini wao tu ndo wanajiona wana haraka kuliko wengine? Ona sasa haraka zake dereva wa daladala zinaishia kupoteza maisha ya watu wasio na hatia namajeruhi na yeye mwenyewe anaenda kusota MOI na pingu kitandani..
  11. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

    Bora uwaambie maana wanadhani hizi bei hapa nchini ewura wanajiamulia tu kupandisha au kushusha! Bei ya mafuta nchini hutegemea bei kwenye soko la dunia.
  12. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

    Uwe na uhakika na taarifa unazotoa! Unasema wiki mbili zilizopita ndio bei ya mafuta ilipanda..una uhakika na taarifa yako? Bei zinabadilika kila mwanzo wa mwezi ndio Ewura wanatangaza bei elekezi..sasa unapotengeneza hoja kuwa bei ilipanda kwajili ya chaguzi za ccm wiki mbili zilizopita ni...
  13. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Deo Filikunjombe kupambana na Pindi Chana 2015?

    Ni kweli kabisa! kwanini mnamnyemelea Deo atemwe ccm ndio agombee cdm badala ya kujipanga kivyenu? huo ni udhaifu kwenu cdm
  14. Kyakukanwa

    JamiiForums Tanzania Mhariri Mtanzania: Kwa siasa za shari, CHADEMA kinajifuta; marehemu alikuwa akiifanyia kazi CHADEMA

    Mungu atusaidie kwa kweli..kwa mwendo huu na uelewa huu!
Back
Top Bottom