Only a genius can attempt this

The last sentence "What is the name of the ship" is not a question but a statement, it has no question mark.

Remember kid, I am one of the unique few in this world.
Malizia virai vyako katika sentensi. Mfano, "the unique few".

Haujaeleweka sababu hakuna jina linalovumishwa na adjectives mbili za "unique" na "few" (adjective phrase) ambazo zimetanguliwa na determiner " the".
 
Hebu tuondolee kingereza chako from ward school hapo!!
Kosoa ktk tatizo usikosoe kulingana na uelewa wako.



Busara ni kukosoa bila kuonyesha dharau za fursa ya mtu...!! Kusoma ward school siyo dhambi na pia kuna sababu nyingi...!! Kubeza siyo haki, ni unyanyapaa usio na tija. Lakini pia mara nyingi wenye uwezo mdogo wa kujenga na kutetea hoja hutumia udhaifu/upungufu wa mpinzani wake ili kumdhoofisha. JIBU HOJA KWA HOJA...!!


Tafakari...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom