Recent content by Kwamex

  1. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Re: Wafalme

    Imetulia hii'
  2. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Jay Mo• amshirikisha M.I.M.S kwenye wimbo wake

    Nahifadhi uzi'
  3. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Startimes decoder for tsh 50, 000/=

    Hahahaha, aone huruma sio...hii kali hii'
  4. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Yupo anatumiwa kati ya IMF, WB au UN.
  5. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Lipumba ana taarifa lakini? Au akija 2015 kugombea urais ndo atapewa taarifa?
  6. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Jimama surua

    Inanikumbusha baunsa mmoja wa club, alimkamata dogo (sharobaro) aliyezingua club baada ya kulewa, baunsa akambeba dogo mzobemzobe hadi stoo ya club akafunga mlango akamwambia dogo avue (dogo huku akitetemeka akavua nguo zote akisubiri hatma yake), baunsa naye akavua dogo akajua leo ni kuliwa...
  7. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha ujenzi EATV kimechakachuliwa.

    Sipendi sauti ya yule dada wa hicho kipindi ndo sababu iliyonifanya nisikipende na kipindi chenyewe.
  8. Kwamex

    JamiiForums Tanzania HAPPY BIRTHDAY Mheshimiwa MOISE KATUMBI CHAPWE!!!!

    Hahahaha' hongera kwa Manji kwa kuiinua Yanga.."Kidumu kilabu cha Yanga"
  9. Kwamex

    JamiiForums Tanzania HAPPY BIRTHDAY Mheshimiwa MOISE KATUMBI CHAPWE!!!!

    Wapi Papaa Yusuph Manji..
  10. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Heche, Mtatiro na Nape on Star tv tuongee asubuhi

    Kiongozi wa CUF inaonyesha mdini sana huyu, amesema kipindi cha uongozi cha Nyerere na Mkapa taasisi za kijamii (nadhan akimaanisha za dini zaidi) zilikaa kimya na nchi kutawalika lakini kipindi cha Mwinyi na sasa Kikwete taasisi za kijamii zinaongea sana na nchi haitawaliki....nadhani chama...
  11. Kwamex

    JamiiForums Tanzania ST John na umombo "kanumba" - "Temporary Closer" au "Temporary Closure" ?

    Ukienda polisi jamii Dodoma eneo la maegesho ya magari limeandikwa " CAR PACKING" tena kwa maandishi yanayosomeka hata ukiwa umbali wa km. 1.
  12. Kwamex

    JamiiForums Tanzania CWT Mbeya yawatimua viongozi wake na kuwatuhumu ni vibaraka wa CCM

    Makato watu wasingejali sana kama chama kweli kingetenda kazi inayotakiwa lakini CWT ni bora liende tu.
  13. Kwamex

    JamiiForums Tanzania CWT Mbeya yawatimua viongozi wake na kuwatuhumu ni vibaraka wa CCM

    CWT bana, watatishia mgomo na walimu kupata mzuka wa mgomo kumbe lengo lao mwishoni serikali ije iwahonge wasitishe mgomo.....Chama cha kingese sana hiki.
  14. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Milionea Afariki na Kumrithisha Paka Wake Utajiri

    Nesi katoka kimaisha'
  15. Kwamex

    JamiiForums Tanzania Michelle Obama: Umbo Lake Laleta Mzozo....

    Hii inaweza ikamfanya mtu atelekeze ID aje na ID mpya....dah! Hili ni bonge la soo na noma kilo mbili.
Back
Top Bottom