Jimama surua

amiride

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
200
37
Kuna jimama moja lilikuwa linapenda sana vitoto vidogo hata vile vinavyocheza barabarani. wazazi wa wale watoto wakaona jimama linawaharibu vitoto vya wakamuwekea kikao na kumwambia kama hawezi kuacha mchezo wake basi ahame mtaa. lile jimama likaamuwa kuwacha hiyo tabia kuliko kuhama mtaa. katika pitapita yake siku moja akaona bonge la mtu limejazia linashusha magunia kwenye gari akajiambia nikilipata hili mtaani watabana ******. akalifuata na kumwambia ana kazi nyumbani jamaa akakubali na kuelekea naye home.
Walipofika hm jimama likamwambia kazi yake inahitaji usafi jamaa likaingizwa chooni likaoga,lilpotoka mazungumzo yakaanza
Jimama: baada ya kazi unapendelea nn
Jibaba: napenda nipate bia mbili za moto
Jimama likaleta bia 4 mbili yeye mbili jamaa.wakamaliza jimama liakauliza
Jimama:ukishakunywa bia mbili wapendelea nn
Jibaba:nipate nyama ya kuchoma, wakala wakamaliza
Jimama; ukishakula nyama ya kuchoma unapendelea nini
Jibaba; nipate mzinga wa konyagi, mama akajuwa shughuli karibia inaanza
akaleta chupa mbili za konyagi wakanywa zikaisha,wote wakawa wameishaanza kulewa
Jimama; ukishakunywa konyagi wapendelea nn
Jibaba;nipate bia moja ya kusuuzia,zikaletwa mbili wakanywa wakamaliza ndo wamezidi kulewa
Jimaa; ukishasuuza unapendelea nini
Jibaba: sasa nataka nipate mtu anifireeeeee
Du kumbe jamaa jishoga
 
Inanikumbusha baunsa mmoja wa club, alimkamata dogo (sharobaro) aliyezingua club baada ya kulewa, baunsa akambeba dogo mzobemzobe hadi stoo ya club akafunga mlango akamwambia dogo avue (dogo huku akitetemeka akavua nguo zote akisubiri hatma yake), baunsa naye akavua dogo akajua leo ni kuliwa tgo mara baunsa akainama na akatoa sauti ya ukali "dogo njoo n*f**e muuza sura we!
 
na lile shoga la zenji linoitwa ali mama bonge ya mtu. Siku 1 kuna dogo katumwa kwa Ali mama kufika baada ya kugonga mlango kufunguliwa anaona mtu kapanda na juu baunsa wa nguvu, dogo kwa woga akasema:
Nimetumwa kwa Ali Baba
Ali mama akamjibu: Ali baba ali babaa, sema Ali MAMA! Dogo: heeeeeeee!!!!
 
wewe kweli mpu.bavu kitu gani hujaelewa au unaf.lwa mwenyewe nini. Jakumbumba bana kweli chizi.

oder please ! Jf's members huu mnaofanya hapa ni utoto ! Matusi ya nini ? Hujajekeshwa na jokes ya membar peruzi majukwaa mengine, majukwaa mbona yapo mengi ? Hata tukiwaachia jukwaa hili peke yenu siku 3 mtukanane hakuna atakaetangazwa ameshinda!
 
Wewe kweli mpu.bavu kitu gani hujaelewa au unaf.lwa mwenyewe nini. Jakumbumba bana kweli chizi.[/QUO
tooooooooooo much matusi hivi jamani, mim nadhani kuna haja ya kumtoa mtu automatic incase akiandika matusi mana ni toooooooooooooooooooo much. kama kitu haujakipenda si lazima na wew u comment
 
tooooooooooo much matusi hivi jamani, mim nadhani kuna haja ya kumtoa mtu automatic incase akiandika matusi.[/QUO ts true wanaboaaa..baelezeee
 
Kuna jimama moja lilikuwa linapenda sana vitoto vidogo hata vile vinavyocheza barabarani. wazazi wa wale watoto wakaona jimama linawaharibu vitoto vya wakamuwekea kikao na kumwambia kama hawezi kuacha mchezo wake basi ahame mtaa. lile jimama likaamuwa kuwacha hiyo tabia kuliko kuhama mtaa. katika pitapita yake siku moja akaona bonge la mtu limejazia linashusha magunia kwenye gari akajiambia nikilipata hili mtaani watabana ******. akalifuata na kumwambia ana kazi nyumbani jamaa akakubali na kuelekea naye home.
Walipofika hm jimama likamwambia kazi yake inahitaji usafi jamaa likaingizwa chooni likaoga,lilpotoka mazungumzo yakaanza
Jimama: baada ya kazi unapendelea nn
Jibaba: napenda nipate bia mbili za moto
Jimama likaleta bia 4 mbili yeye mbili jamaa.wakamaliza jimama liakauliza
Jimama:ukishakunywa bia mbili wapendelea nn
Jibaba:nipate nyama ya kuchoma, wakala wakamaliza
Jimama; ukishakula nyama ya kuchoma unapendelea nini
Jibaba; nipate mzinga wa konyagi, mama akajuwa shughuli karibia inaanza
akaleta chupa mbili za konyagi wakanywa zikaisha,wote wakawa wameishaanza kulewa
Jimama; ukishakunywa konyagi wapendelea nn
Jibaba;nipate bia moja ya kusuuzia,zikaletwa mbili wakanywa wakamaliza ndo wamezidi kulewa
Jimaa; ukishasuuza unapendelea nini
Jibaba: sasa nataka nipate mtu anifireeeeee
Du kumbe jamaa jishoga

ha ha haaaaa!!! Duh hii stori imenifurahisha sana
 
Mambo ya kuhic mabaya sana! huyo jimama alijua leo shughuli pevu kabomoa kibubu kumbe jibaba c ridhiki lol!
 
Back
Top Bottom