Recent content by Kushdon

  1. Kushdon

    Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya Ajira ni kero na uonevu kwa waomba Ajira

    Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
  2. Kushdon

    Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya ajira ni kero na uonevu kwa waomba ajira

    Sa za nini zipo izo ajira zinatangazwa kila siku kama wanajua tunaeza kujiajiri
  3. Kushdon

    Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya ajira ni kero na uonevu kwa waomba ajira

    kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
  4. Kushdon

    The UnderTaker astaafu mieleka baada ya kupoteza pambano dhidi ya Reigns

    Taker aliamua Roman amstaafishe. He has passed the torch. Aliangalia MTU anayeweza kuibeba WWE na kaona ni big dog.
  5. Kushdon

    Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Anayeamini kwamba hii imepikwa aniunge mkono.
  6. Kushdon

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Luna MTU anaitwa Ivan perisic. Liverpool tungempata kijana yule. Hatari sana
  7. Kushdon

    Wanawake wengi ukiwatongoza tu anakwambia simu yake imeingia maji

    Mmoja aliniambia iPhone iko kwa muhindi nimuongezee hela akatengeneze.
  8. Kushdon

    Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Una dharau aise. Just Google Dr George masanja. Utasoma walau journal za wasomi Tanzania.
  9. Kushdon

    Ni kweli mwanamke kukuza makalio kunamfanya awe mwanamke kweli?

    Nimekupenda dada. Mko wachache mno. Ningeweka ningekuconnect tu communicate.
  10. Kushdon

    Ni kweli mwanamke kukuza makalio kunamfanya awe mwanamke kweli?

    Hahahaha, nilikuwa cnaga hako katabia aise. Wale huwa wanadanganyana wenyewe kwa wenyewe.
  11. Kushdon

    Ni kweli mwanamke kukuza makalio kunamfanya awe mwanamke kweli?

    Hii chura muhimu kwa kweli. Mwanamke akijiona hana chura anajiona mwanaume
  12. Kushdon

    Ni kweli mwanamke kukuza makalio kunamfanya awe mwanamke kweli?

    Za saa hii ndugu, Jamaa na marafiki, Leo nimekumbuka kitu ambacho huwa kinanifanya nimkumbuke mtu flani. Nilikuwa na binti mmoja ilikuwa 2015 mwishoni. Tulikua wapenzi. Alikuwa ni mzuri kiasi chake ila siyo kivile wa kutishia. Siku moja tulikuwa tumepumzika akawaza then akaniambia "baby...
  13. Kushdon

    Wasichana oneni huruma, siku ya kwanza tu unaomba na hela (kizinga) live

    The English you are writing indeed comes from Swahili land.
  14. Kushdon

    Mbinu za akina dada kuwalia hela wanaume

    Mimi mmoja alianza kunicheki Facebook Mara kibao. Tukapeana namba then tukawa love birds. Mwanzo akajionyesha mzuriii mwenye nidhamu. Muda ukaenda tukaonana akaanza kuwa yeye kweli kweli. Mara nimepeleka iPhone 6 yangu kwa fundi mhindi anaondoka nje y Mwanza ananidai 160,000 naomba nisaidie...
Back
Top Bottom