Ni kweli mwanamke kukuza makalio kunamfanya awe mwanamke kweli?

Huwa sielewi logic ya wanawake wengi kukuza makalia,nini kipo chini ya carpet kuhusu makalio??
 
Huwa sielewi logic ya wanawake wengi kukuza makalia,nini kipo chini ya carpet kuhusu makalio??
Majibu yake yangetoka kwetu wanaume

Tulioko Team Chura!! Bahati mbaya Hata Sisi Tunapenda tu automatically!!
Hivyo majibu ni magumu

Yani nikiona chura!!! Akili ina stuck for a while!!
 
Majibu yake yangetoka kwetu wanaume

Tulioko Team Chura!! Bahati mbaya Hata Sisi Tunapenda tu automatically!!
Hivyo majibu ni magumu

Yani nikiona chura!!! Akili ina stuck for a while!!
haya mkuu
 
Nimekupenda dada. Mko wachache mno. Ningeweka ningekuconnect tu communicate.
 
Naomben tofaut ya chura fek na originall

Ninavyojuaa mm chura feki anakuwa ametepetwa sana. Matako mawili yanakuwa hayana ushirikiano na yamelegea sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom