Mbinu za akina dada kuwalia hela wanaume

Km fb wamejaa lkn utapeli wao usipokuwa makini mbona unaingia 18,kwamfano,fb wapo wadada km 18 hivi wao ni kikosi maalumu kwa utapeli, ila ntakutajia wawili tu ambao ndo vinala, kwamfano kuna dada mmoja anajiita doctor Sandra Michelle, mwingine anaitwa felister lopes, na wana mtandao mbaka huku kwetu tz, alafu hawaweki pichi nyingi kwenye fb, wakiweka zaidi picha 2 au 3
 
Hili suala la simu kumbe wengi wamepitia teh teh teh teh...

Kuna demu nilimuhonga iPhone 6 new brand sasa baada ya miezi 4 akawa hapokei simu zangu wala meseji hajibu ila whatsapp namuona online, fb kama kawa
Nikimuuliza anajibu eti yuko bize na kazi, sasa sijui ubize wa kazi ya kuchati na grupu za whatsapp,
Nikaona isiwe tabu sikumtafuta tena nikamuacha awe bize...!!
Teh teh teh teh sasa si mnajua iphone hazina adabu kama huna hela.
Imemuharibikia kutengeneza hawezi itabidi anitafute oooh baby umenisusa sijui nn nikamwambia niache kwani niko bize na mimi.
Teh teh teh teh teh....
Ujinga mimi sipendi.
kAmBa!!
 
Ni kweli mkuu....
ila niliamua nimuache koz ameifadhi ndani kwake,
naweza nikaichukua any time kwa madai ya kumtengenezea then
nikaichukua mazima au nimfungulie I.D na password niweke zangu.
Yaani hapo ndipo ninapowakubali apple ( iPhone ) simu zao ni differ from other...
haswa kwa warembo wenye nyodo na majivuno kama huyu mwehu niliyemuhonga...teh teh teh teh...
kwamba simu zao ni differ from other!
 
kwamba simu zao ni differ from other!
Ndio iPhone mfumo wake tofauti na simu nyingine yeyote duniani...
Hakuna simu ya kuifananisha na iphone labda kidogo Samsung 's ndio wanaikaribia karibia iPhone lakini bado sana.
IPhone sio ya mchezo mchezo...
 
Pole sana... Ndiyo ujifunze sasa.. Tamaa mbaya...

Wengine mnachunywa, wengine tunapewa bure...
 
Wana JF kwetu sisi tunaopenda kutongoza hovyo inabidi tuache tabia hiyo, siku hizi wasichana wana mitego ili uwatongoze na wajipatie hela halafu ana sepa, mwingine ukimtongoza hakatai anajifanya kama hana jibu muda huo, wanajiandaa kuwa na line ya simu ambayo haijasajiliwa kwa majina yao na hiyo ndio atakayokupa ukimuomba, au anayo yenye majina yake lakini haitumii sana ni kwa kazi maalum kama hiyo, anakuacha ujipendekeze kuwa unampenda sana, unaendelea kumtumia mesage anasubiri kama wiki hivi badae anakuomba msaada pesa anayojua utatoa ukitoa anajua zipo, usipotoa anakutolea makavu, baada ya siku kadhaa anachomeka tena ukikubali kutoa basi, humpati tena anazima iyo line ukimtafta fb anakwambia simu imepotea au imeingia kwenye maji hana simu, ukimnunulia simu halafu unamuomba unyumba anakuzungusha ukisumbua ana ku block fb. Ukimfatilia anaanza matusi eti huna aibu kuwafuatilia wake za watu. Hii imewaliza wengi. Na wengi wanashidwa kudai mali na simu walizohonga. Kwann tusikome tuachane na hii tabia maana tutapoteza sana na kuishia maumivu.
Mkuu ulivyoielezea kwa hisia inaonekana yalishakukuta. Anyway wacha walizwe tu maana hamna jinsi sasa unakuta mtu anataka awe na wasichana more than 1 at once inakuwaje hapo pia mwengine kila sehem unaomba no tu sasa ukiibiwa utamlaumu nani wakati hela umetuma mwenyewe bila kulazimishwa
 
Mwingine unamtongoza anakwambia nina matatizo yangu hutaweza kuwa na mimi wanaume wengine kama sisi tunangangania kusema eti tatizo lako ni la kwangu sasa anakwambia naishi na mama kodi imeisha mwezi sasa unaulizia kwa mbali sh ngapi akikueleza unatoa, ukimtafuta upige maji anakwepa anakwambia anamuuguza mama. Mwisho wa siku anakwambia we kaka sitaki mazoea mi ni mke wa mtu hani unajisikia kulia tu.
 
Wana JF kwetu sisi tunaopenda kutongoza hovyo inabidi tuache tabia hiyo, siku hizi wasichana wana mitego ili uwatongoze na wajipatie hela halafu ana sepa, mwingine ukimtongoza hakatai anajifanya kama hana jibu muda huo, wanajiandaa kuwa na line ya simu ambayo haijasajiliwa kwa majina yao na hiyo ndio atakayokupa ukimuomba, au anayo yenye majina yake lakini haitumii sana ni kwa kazi maalum kama hiyo, anakuacha ujipendekeze kuwa unampenda sana, unaendelea kumtumia mesage anasubiri kama wiki hivi badae anakuomba msaada pesa anayojua utatoa ukitoa anajua zipo, usipotoa anakutolea makavu, baada ya siku kadhaa anachomeka tena ukikubali kutoa basi, humpati tena anazima iyo line ukimtafta fb anakwambia simu imepotea au imeingia kwenye maji hana simu, ukimnunulia simu halafu unamuomba unyumba anakuzungusha ukisumbua ana ku block fb. Ukimfatilia anaanza matusi eti huna aibu kuwafuatilia wake za watu. Hii imewaliza wengi. Na wengi wanashidwa kudai mali na simu walizohonga. Kwann tusikome tuachane na hii tabia maana tutapoteza sana na kuishia maumivu.
WAPE HONGERA
 
pole sana mkuu! wamekuliza hadi simu!!
 
Ila kwani huwa wanawashikia visu ili mtoe hizo hela au vitu, si mnatoa kwa hiari.
 
Mimi mmoja alianza kunicheki Facebook Mara kibao. Tukapeana namba then tukawa love birds. Mwanzo akajionyesha mzuriii mwenye nidhamu. Muda ukaenda tukaonana akaanza kuwa yeye kweli kweli. Mara nimepeleka iPhone 6 yangu kwa fundi mhindi anaondoka nje y Mwanza ananidai 160,000 naomba nisaidie niikomboe, kama vp naomba nikopeshe nitakurudishia. Nikamshutukia kwamba ni hawa mashangingi wa town. Kagonga mwamba. Kuweni makini nao viumbe hawa. Alikutana n kijana wa kaskazini mji anaujua. Sasa hivi namkaliaga kimya tu akinitafuta namwambia njoo kesho ka unamaanisha kweli. Akigoma kimya kama kawa.
 
Back
Top Bottom