haya ni maneno mazito kusemwa na mtu wa makamo ambaye ni tegemeo la ushauri kwa vijana wajiandao kuingia ndani ya ndoa au ambao ndoa zao ni changa ,mi naona alikuwa atnatania tuu,au hana hofu ya mungu,mbinafsi sana,au alimaanisha tutumie akili zetu kutunza ndoa na maisha ya ndani ya nyumba...
Achana nae hao wengi wao ni pasua kichwa,utajappata magojwa ya zinaa bure!,+HIV tena mtu muongo kwenye mapenzi ni hatari sana!! Inauma sana Kama alikuwa na penzi la Kweli jamani, mwambie asigeuke nyuma asijekuwa jiwe la chummvi bure!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.