Kweli mganga hajigangi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli mganga hajigangi

Discussion in 'JF Doctor' started by Dr.Chichi, Jun 2, 2011.

 1. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Wanajf toka juzi naumwa malaria na pneumonia,ishu inakuja kwenye kutumia dawa.mimi huwa ni mkali sana sana kwa wagonjwa wangu kuhusu suala la dawa hata wakiniambia zinawashinda.sasa na miye nimeandikiwa madawa hayo hayo na kusema ukweli yanaudhi ile mbaya alafu ishu inakuja kwenye kuchoma sindano yaani ni ugomvi mtupu kidogo nilie jana..wagonjwa nisameheni kwa kuwatesa,wanajf niombeeni nipone haraka,i cant take these medicines anymore
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Pole sana!
   
 3. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,396
  Trophy Points: 280
  get well soon... inasemekana watu wanaoongoza kwa poor adherence kwenye medication ni medical personel
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kiuzoefu ni kweli aisee...Samora unaweza angalia hili kisayansi/formal research ukapublish!
   
 5. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Shukran jamani....ila its true medical personnel wengi kwenye matibabu ni mgogoro
   
 6. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  get well soon!,kumbuka kumuomba na Mola wetu
   
 7. kure11

  kure11 Senior Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole na ugua pole.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  halafu madokta kwa kudeka sasa! unaweza kuta hata kunywa panadol anaitapika, afu kula ni issue utadhani hajui madhara ya kutumia dawa na kutokula! pole mwaya.
   
 9. A

  ADAMSON Senior Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana Comrade kumbuka kusali basi na kunywa maji mengi
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,071
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  pole sana Doc... mimi toka nianze Med school miaka 6 iliyopita sijawahi kuumwa but nilikuja kukamatwa na Chronic Otitis Media ! nilipoanza my junior internship sikio la kushoto.... baada ya mwaka naanza residency likaja sikio la kulia.. nikajitibu mwenyewe bana coz dawa alizoniandikia Doc nilikuwa nazikumbuka...

  Get well soon!
  P.S i prefer dawa zaidi kuliko sindano .. i hate needles ...
   
 11. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana.Mungu atakusaidia utapona
   
 12. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Asanteni sana jamani,nimepona sasa.....aisee njiwa kumbe tuko wengi tunaochukia sindano
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  pole mkuu kweli kuumwa siyo mchezo get well soon mkuu.
   
Loading...