Kaz kwel kwel mbona mwanaume huyu haeleweki?

Ukikaa bar unasikiliza meza ya jirani hata na kwenye daladala pia unafuatilia hayo? murefuuuuu hiyo ni tabia ya watu wasiojiamini anataka kuongea na mtu jirani na mpenzi wake ili apate uhakika fulani, ila ni utumwa tu sababu mtu akitaka kufanya uhuni hata mbele yako anafanya tu

ha,ha,ha,ha,haaaa... Gagaaaa! Sawa umesema tabia ya wa2 fulan hata akitaka kufanya uhun mbele yako anafanya 2u cjakuelewa inamaana jamaa anauhun wa namna hyo au inakuwaje mana cjakupata sawa sawa. Kumuulizia m2 au shemeji yake ni uhun kumuulizia kila anapopga simu au ?
 
Lizzy tatizo co napenda kusikiliza au kufuatilia ya wa2 bal stor zenyewe zinanifuata co ninazifuata zenyewe zinanifuata. Okay wewe hebu chukulia jamaa yako anakuwa anamuulizia dada yako au mdogo wako wa kike kila unapoongea nae je wewe utajisikiaje wewe kama wewe utajisikiaje mh! Et lizzy?
Ntaona poa tu maana mimi nilipouliziwa hakukuwa na tatizo!
 
Hujui nini?Kwani kuna swali hapo?Nwy acheni kuishi kwa wasiwasi...kama huyo mwanaume humwamini ndugu yako nae humwamini?

ila huaminifu usivuke mipaka kias kwamba ukawaacha wa2 midomo waz au kusababisha hata wewe mwenyewe kuwa na wasiwasi
 
mmmhhhh
ukweli ni kwamba I trust you
and i trust my sister too
siwezi amini waweza fanya jambo lolote
litakalovunja familia yangu ambayo labda itakuwa yako baada..
kumbuka trust is like a virginity you can only brake it once...

Well said AD.
 
We Murefu kila siku na hadithi za watu??Nwy sioni ubaya wowote maana hata mimi nilikua nauliziwa na shem wangu ila sio kwasababu ananitamani!Ni strategy ya kumpenda na kua karibu na kipenzi cha mwandani wako..that is kama dada anampenda mdogo wake sana!Inamtengenezea mwanaume mazingirga ambayo hata siku wakigombana anajua atamtumia nani kumbembelezea mwenzake na kumwombea msamaha!Nnachojua ni kwamba wadada hua wanapenda na kufurahia hali hiyo ila kama huyo ana wasiwasi basi hajiamini!Kazi anayo.
dah.Lizzy, hupitwi??


Happe Easter (belated)
 
Huyo mshikaji hamtaki shemeji yake ila hamwamini mpz wake thurs why anaulizia ili akiambiwa yupo na mdogo wake atakuwa na uhakika kuwa mpz wake hachakachuliwi.
 
Ukikaa bar unasikiliza meza ya jirani hata na kwenye daladala pia unafuatilia hayo? murefuuuuu hiyo ni tabia ya watu wasiojiamini anataka kuongea na mtu jirani na mpenzi wake ili apate uhakika fulani, ila ni utumwa tu sababu mtu akitaka kufanya uhuni hata mbele yako anafanya tu

that iz a word
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom