Happy Birthday DaMie.

Usikumbushe ya mwaka jana, maana ilikuwa funga kazi, unamkumbuka yule mama alipanda juu ya kaunta na kuanza kucheza taarabu?, usiache kumwalika plz! Subi nae asikose c unakumbuka we came from long way!

BU yule mama kawahi mapemaa anajitwika tu muda huu. Sub yupo tayari bado ww . Wahi bana anyima raha mimi
 
japo nitakuwa nimelate lakini si sana, natumai umefurahia siku yako na Mungu akutangulie ktk kila jambo
 
japo nitakuwa nimelate lakini si sana, natumai umefurahia siku yako na Mungu akutangulie ktk kila jambo

Usijali Dear, Jumamosi tunasababisha tena kwa wale waliochelewa. Pamoja Daima
 
Nachukua fursa hii kukutakia kila la kheri katika kusherekea sikukuu ya kuzaliwa kwako. Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele, akupe zaidi kipato na akuwezeshe kuwa mvumilivu na mwenye hekima katika siku za uhai wako.
Mwisho tumia siku yako ya leo kujifunza mapungufu yako ili uyarekebishe na mazuri yako ili uyaendeleze. Samehe na sahau wote waliokukosea, Mungu atakufanya uwe mpya.
Mabox ya zawadi nimeahidiwa yanaletwa na other JF members kama akina MaxenceMelo, Kimey, Kaizer, Preta, PakaJimmy, Fidel180, Asprini, Finest, MwanaJamii One, MariaRoza, BigMama, Afrodensi, WiseLady, LilyFlower, DenaAmsi na wengine wengi tu wanakufahamu, jiandae kwa mapokezi.

Happy Birthday Mungu akujaalie maisha marefu zaidi :plane: :plane:
 
Kontena ilifika salama, Nilijisikia tofauti kwa kukosekana kwako, au jitihada za kutoa kontena zilikuchosha
Walitaka kulichakachua kontena waondoke nalo ndio nikawa nimesimama kidete ili wasiondoke nalo
 
Hongera DaMie. Mungu akupe maisha marefu yenye furaha tele. Zawadi yako iko njiani.
 
Back
Top Bottom