Originally Posted by MsandoAlberto:
Ndugu zangu WanaJF,
Hatimaye nafsi yangu imekuwa huru. Baada ya kutafakari kwa muda mrefu huku nikiumia moyoni nafsi yangu sasa imekuwa huru na niko tayari kufanya lile ambalo naamini halitawapendeza wengi lakini ni sahihi kwa maslahi ya Taifa letu...
Cc tunaowajua wana Mara ni kwamba kule hakujawahi kuwa na wana ccm Ila kuna wapenda nchi ndio maana hata Nyerere angekuwa mzima Leo naamini angekuwa cdm! Hongera uvcdm Mara
Inauma sana! Think of an innocent and poor taxpayer kule kijijini kwako anayelipa kodi akitarajia ipo siku tz itajikwamua kutoka kwenye dimbwi la umasikini na hatimaye nae akaishi Kama binadamu! Ipo siku kila anayehusika katika dhuruma hii watawajibika! Walikuwapo akina Mobutu seseseko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.