Dk. Slaa: Tutajibu mapigo

Dk. Slaa: Tutajibu mapigo

Tutausubiri ili tupata picha ya upabde wa pili wa shilingi. Ndg zetu walopoteza maisha wakiwa ktk kutimiza haki yao kikatiba wapumzike kwa amani, amina
 
Nimesuggest mara nyingi kuhusu hii issue siziuzwe wazigawe bure kama karanga

Hapana voice unajua nchi yetu ni kubwa sana kuwagawia wote bure itakuwa issue kwa chama chetu. Mi napendekeza turudisha gharama tu
 
Hapana voice unajua nchi yetu ni kubwa sana kuwagawia wote bure itakuwa issue kwa chama chetu. Mi napendekeza turudisha gharama tu
Sio gharama ndugu yangu ukinunua dvd kwa jumla hii itakuwa ni kama 200/= cost per unit; kuburn dvd computer zipo nyingi siku hizi hapa cost per unit heunda ikawa 150/= hapa tukiuza shangingi la muheshimiwa mmoja hii kazi itafanyika na chenji itabaki ya kununua gari la kawaida na karo ya kupeleka watoto kama 10 shule
 
mchango mzuri ila ningeshauri wenye TV zao wasiogope maana kama wameonesha ya polisi kwanini waogope ya CHADEMA? Cinema ni cinema tu, CHADEMA watangaze rasmi tu kuwa wananchi wanataka kuona na zao kwanini wanyimwe kama walioneshewa ya polisi? Ugangari uanzie hapo hapo. Tunamwombe Dr akamwage sera na akina Mengi waache uwoga. Intellegensia ipi. Diallo alishaona nguvu ya umma kwahiyo hatasita kuionesha nadhani
 
Mkuu, Tuntemeke,nimependa jinsi ulivyowasilisha huu ujumbe muhimu. Mwaka 2015 tuwakilishe kwenye jimbo unafaa kijana tunataka tukuone Bungeni.
 
Hawa jamaa watakimbia kabisa.. Huko maofisini na huu tuupeleke the hegue

igp mwema, apc andengenye, ocd zuberi kaeni mkao wa keko..

Taarifa ya polisi kila mpenda haki duniani alijua ni usanii mtupu kama ilivyo serikali ya mkwere. Sijui huyu mheshimiwa aliyeko ikulu ya watanzania anafikiri watanzania wa leo ni wajinga kiasi cha kuimeza hiyo propaganda na kuiamini? amepotea njia, sana sana anazidi kumuaminisha kila aliyekuwa na mashaka kuwa mkwere na chama chake pamoja na serikali yao ni wasanii watupu afrika.
 
Mkuu, Tuntemeke,nimependa jinsi ulivyowasilisha huu ujumbe muhimu. Mwaka 2015 tuwakilishe kwenye jimbo unafaa kijana tunataka tukuone Bungeni.

Ndugu yangu hapa nimetingwa kweli,Mwishoni mwa wiki kesho tar(nitawajuza) kutakuwa na kongamano la CDM-UDSM(DUCE) kufungua ofisi za chama na kujadili mambo yanayolikumba taifa letu.Wageni waalikwa ni VIONGOZI WA CDM WAJUU!ur invited.
 
Jimbo tumeshaanza kuliteka,nisehemu ndogo tu CCM wamejishikilia nayo tutaimalizia mapema mwaka huu huu.Revolution never die.
 
Kwa kauli ya Dr.(Phd) kuna mpango wa kuandaa cinema zima la Arusha, ni ukwel usiopingika tbc haiwez kurusha saga hilo na wengine watapenda kuonesha kama itv,str na ch10 lakn watauogopa kutangaziwa 'intelejensia'. Hivyo basi dvd ziuzwe mtaani ili m2 akitaka siku kupandwa hasira anaangalia cinema hilo.

Ni hayo tu

Ziandaliwe tuzipate pote mikoani ili wapenda haki na amani waweze kujua nchi imekabidhiwa kwa watawala wasio na busara wala huruma kwa raia wanaowalipa mishahara. Uongo hauna nafasi kwa nchi yetu wakati huu wa sayansi ya teknolojia. Kwa njia hii propaganda ambazo ccm inazitumia kwa kuvitumia vyombo vya habari ndo utakuwa mwisho wake. Bahati nzuri watanzania wamejifunza kupokea habari za vyombo hivi mamluki kwa tahadhari kubwa, hakuna wanayemdanganya, wanajisumbua na kuanika tabia yao ya uongo. Kila mwenye upeo wa kuchambua pumba na mchele anajua huu ujinga wao.
 
Kitacho watesa zaidi,Ni kwamba askari waliongozana na waandamaji kwa umbali wa kilomita 2,Walipofika eneo walilolianda askari kutekeleza kipigo ndipo hapo amani ikatoweka Ili hali maandamano yalikotokea yalikuwa tulivu,amani,nyimbo za umoja,askari mbele katikati na nyuma ya waandamanaji wakiwa wapole na wenye sura za kibinadamu..Kumbe si kila mwenye sura ni binadamu.Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema
 
Hivi wahuni wanapojaribu kukiteka nyara kituo cha polisi, kwanini wasitandikwe shaba? Nadhani serikali ya ccm imefanya jambo muhimu sana kuwatandika risasi wale watu. Siyo mkishavuta bangi zenu huko mnaanza kujiona simba wakati bado ni nyau. Chamsingi ni kwamba, wale watu wote "the vulnerable ones..., who can easily be exploited by slaa, next time when you are told to be break the law in that in magnitude, you should know that getting shot dead is one of the ramifications of your hooliganism". I would rather watch CCN showing ****** getting shot than ****** taking our police officers hostage.

Killings those twats is "lawama"; but for the police officers to be taken hostage by those dead prats would have been "fedheha"
Heko jeshi la polisi kwa kulinda heshima ya nchi.
 
Kwa kauli ya Dr.(Phd) kuna mpango wa kuandaa cinema zima la Arusha, ni ukwel usiopingika tbc haiwez kurusha saga hilo na wengine watapenda kuonesha kama itv,str na ch10 lakn watauogopa kutangaziwa 'intelejensia'. Hivyo basi dvd ziuzwe mtaani ili m2 akitaka siku kupandwa hasira anaangalia cinema hilo.

Ni hayo tu
unamaanisha chanel ten hii ya RA au kuna nyingine mpya
 
Kwani Dokta Slaa kisha "pigwa" hata aamuwe kurudisha mapigo?

Kwetu hiyo ni "change bin change". Na yeye katika wale 98%? Ama!
 
Walete tu sisi tutadurufu nyingi sana kwa gharama zetu na kugawia watu waangalie bure.
 
nancy tweed the mothr f+-,ckr bi+-h from the dyin old ccm school! u et al thot that ur moth****n importnt than ur voters! mwenzio celina kombani oanajichekelesha we unakomaa huangalii hata odir ya tufani! lil kim get tha sma out of my face n keep the light up tanzania!
 
Back
Top Bottom