TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

Tujulishee yaliyojirii basii maana wengine hatupati hiyo tbc1 mchakachuo....yaliyiri tafadhaliii
 
Rev Masanilo: Nakushangaa sana. Hata katika hili unasema Scum! Mambo Hadharani. Ukweli ndio huo. Imekula kwenu.
Sikuoni kama una tofauti na wale wanaoitakidi eti Yesu ni Mungu wakati yeye mwenyewe alisema naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yenu, kwa mungu wangu ambaye ni Mungu wenu!. Hivi we rev masanilo na genge lako wa wahuni : nani amewaloga?
wewe ndio umetuloga na pumba zako!
 
Presha zitamuua IGP..hv anadhani tunakubali kwamba CHADEMA ndio wakorofi kwa kutuonyesha hii video?? Labda nimfahamishe kwamba ametoa funzo kwa waandamanaji bila kujijua,next time patachimbika..
 
Sikuoni kama una tofauti na wale wanaoitakidi eti Yesu ni Mungu wakati yeye mwenyewe alisema naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yenu, kwa mungu wangu ambaye ni Mungu wenu!.

Tafadhari haya sio mahala pake hapa, peleka kule kwenye dini.
 
Ulitegemea watetee upinzani? Ofcourse kama muhtasari walioonyesha TBC1 ndio utetezi wa mahakamani imekula kwa chadema tena kwa sana tu. Hiyo ndiyo Tanzania. Unadhani kwa nini wamechukuwa siku nyingi vile ndio wanaonyesha, mpaka mwajiri wao achekelee ndio ionyeshwe. Ndio maana Membe aliwaambia mabalozi (Ingawa aligeuza kibao kwamba hakusema, nayo TBC1 watachakachua ingawa waliyaonyesha wenyewe akiyatamka) wasubiri tamko rasmi, ndio latafutwa hivyo.
 
Pamoja na kuwa waandish wetu waliitwa kituo cha polisi kati, mkand ukaonyeshwa, polisi akatoa maneno, akagoma kuulizwa maswali, yoote hayo hakuna hata gazeti 1 lililoandika upuuzi ule, baada ya kuona hivyo wakaona waupeleke vituo vya Televishen, hakuna aliye tamka neno, wakarudia tena jana, imekula kwao hatuwaamini, hatuwaamini.
 
TBC1 lazima wafanye kaz kulingana na bosi wao anavyotaka-so wao wapo right as wamecomply matakwa ya bosi wao
 
Kwa KWELI ukweli ndo huo mtake msitake. Mauaji polisi wamefanya ni jambo baya sana tena lina KERA.
LAKINI MANENO YA KICHOCHEZI YA DK SLAA NAYO YANAKERA WENGI HATUKUJUA maana magazeti ya kanisa yote yameripori Polisi wameua raia kwenye maandamano yaliyofanywa na polisi. najua watu waliosoma Logic ambao sio NGWINI wanakubaliana nami kuwa.
1. Maandamano yalianza yakavurugwa na POLISI (SALAMA) isipokuwa mbowe alimpiga OCD naye akashambuliwa mpaka mtaro wamaji machafu wakamuopoa na kumpeleka kituoni, na wababe wenzake akiwemo girl friend wa slaa aliyetaka kumpiga polisi wakike akakutana na walinzi wakamuharibu reception yake(POLE ZAKE).

2. SLAA na NDESAMBURO hawakufanya fujo na polisi walifika uwanjani salama wakafanya Kikao choko choko ziliendelea mabomu yakawa yanapigwa ikawauma wakaamua waamrishe yafuatayo.
NDESAMBURO: akasema RISASI zitakwisha twenedeni tukateketeze kituo tuwatoe kina LEMA
SLAA(naogopa kumwita Dr sijui ni wanini) alitangaza hali ya hatari kuwa SERIKALI ya kikwete haitatawalika, Kuanzia sasa.

3. Walipo maliza kikao salama baada ya maneno ya kichochezi ya Dr SLAA vijana walienda kufanya fujo kwa makusudi kabisa maana KIKAO kimekwisha walikua wameshampata meya wao. Yaliyotokea baada ya hapo ndo hayo kwenye mashumbulio hapawezi kuliwa ubwabwa zitapigwa risasi kwa bahati mbaya saaaaaana wamefariki vijana wetu wao wanawaita mashujaa sijui MUNGU atawapokea kama mashujaa au wafanya fujo.

kutokana na hayo tunapata tabu saaana ambao sio chadema kuona source ya mauaji ni polisi, walioua ni polisi lakini source ya mauaji ni SLAA. Tusilaumu tulipoangukia tulaumu tulijikwaa. watanzania sio wajinga mnavyofkiri chadema. ushabiki mbali na ukweli mbali
 
Back
Top Bottom