KUMRADHI: Tupo kwenye marekebisho MUHIMU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUMRADHI: Tupo kwenye marekebisho MUHIMU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maxence Melo, Jan 23, 2011.

 1. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Siku nzuri kufanya MAREKEBISHO MAKUBWA na MUHIMU huwa ni aidha Jumamosi ama Jumapili, hivyo mtuwie radhi kuna marekebisho makubwa kiasi tunafanya lakini hayataathiri utendaji mwingine.

  Mwonekano wa JF unaweza kubadilika wakati wowote lakini hautasababisha kutoweza kuendelea na discussions kadhaa.

  Hatukuona sababu ya kufunga kwakuwa haina athari bali mwonekano tu ndo unaweza kuwa unabadilika kulingana na tests tunazofanya kwa upande wetu.

  Ahsante kwa uelewa!
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Dalili tumeanza kuziona mkuu.
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Asante boss kwa taarifa pole na kazi ngumu
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  thank god !!!, I thought this appearance was permanent..... OOOooooohhhhhh.
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Asante pia kwa taarifa na marekebisho.:)
   
 6. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Asante kwa uelewa hata hujajua kama somo limeeleweka mkubwa.

  Hata hivyo wengine tumeshachoka na mwonekano wa zamani, huu mpya ukibaki pia shega tu. Big up, one love.
   
 7. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Umenichekesha sana,

  Unataka VoR atutoe macho?

  Well, kwenye mwonekano MPYA (ambao tulitarajia kuuzindua kesho) niwafahamishe mapema kuwa user details zitakuwa juu.

  Naamini mtaipenda hii mpya, mtagundua baadae kuwa inapunguza nafasi kati ya post na post na aidha itakuwa na mapya mengi lakini rahisi kutumia.

  Mkuu VoR, umesomeka lakini nikuhakikishie kuwa ya sasa hatujafanya haraka na haitakuwa na mapungufu MENGI ambayo hii ya sasa inayo.

  Shukrani mkuu wangu
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,561
  Likes Received: 18,291
  Trophy Points: 280
  Pamoja Mkuupamoja, tufikishie pole zetu kwa wife, maana kama sio imara, JF inaweza kutishia amani ya familia!
   
 9. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Bado tunapanda milima lakini tutafika wazima. Big up, JF tunaipenda ahaaaaaaaa ... Mac chapa ilale.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hakuna neno mkuu... Shukran we are all fighting for "Perfection"......, Sometimes its hard to appreaciate new things, am sure with time it will be okay..., as you know "Mazoea yana Tabu Zake"
  all the best and keep it up...
   
 11. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,058
  Likes Received: 4,628
  Trophy Points: 280
  thanks, maana mwenekano huu ulinitisha, i thought will be permanent
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, endeleza mapambano........tutafika mazima. tukiwa hatupo serious wanatubeza, tukiwa makini wanajiuliza!!!
  Weka hii makitu vyema, then muzic unaeleweka!
   
 13. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  turudishieni ile forum ya nyimbo tuwe tunajiburudisha hasa zilipendwa
   
 14. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Big up wakuu.
   
 15. K

  Kuntukuntu Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli muonekano ni mzuri! but unahitaji muda kuuzoea!! All in all hongereni sana gud job
   
 16. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  May god the Almighty bless you abundantly... you people 're doing a great job...
   
 17. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Imetulia, imekaa wezere!!!!
   
 18. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Thanks. Kazi njema
   
 19. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Bado hatujabadilisha chochote, ni display tu. Kinachokuja ni tofauti na kinachojitokeza sasa.

  Ahsante mkuu
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Siku ya Jumamosi tarehe 22/01/2011 ulipotaka kuingia (Login) kulikuwa na meseji hii :

  TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. We will be back shortly (30min). - Uongozi JF

  Lakini kila unapojaribu kuingia baada ya hizo dkk 30 walizosema hapo ilikuwa haiwezekaniki. Kwa hiyo nilikuwa naomba uongozi wa JF , next time wawe wakweli kwa kuliko kutuwekea muda ambao haukuwa kweli
   
Loading...