Naomba kuuliza, hivi hukumu ya dowans ina deadline ya kulipa?

limited

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
312
42
habari wana jf , ningepenada kujua deadline ya kulipa hukumu ya icc kuhusu dowans, je serekali haiwezi hata kidogo kudelay mpaka kikao cha bunge kianze angalau hawa wawakilishi wa wanachi watoe hata mapendekezo au mbadala wa hii sooo??
pls delay just for 2 months pls jk mtukufu!!!!!!!!!!!(sijui atasoma) sababu watu wengine hata hawajui kilichotokea. hata mie nimestuka tu after elections dowans huyu hapa golini kapewa penati alafu kipa mrisho ngasa, refa madega, yaani hata jamaa akigonga post ni goli tuu!!!!!!!
 
Nijuavyo Mimi deadline ipo...... Malipo lazima yalipwe kabla ya kikao cha Bunge linalotarajiwa kuanza tar 8/2/11! Poor taxpayers TATIZO uoga!!!
 
Why can't we be proactive like our colleages in Tunis?????!!!!!! Mungu baba wape ujasiri poor tanzanians
 
matatizo hayajafika kwenye peak! Yakifika, huenda tukawa wabaya zaidi ya watunisia!
 
Back
Top Bottom