Mtanzania mwenye akili nzuri awe mwanachama wa CCM, CHADEMA, CUF, TLP, NCCR etc hawezi kukubaliana mpango wa watu wachache wa kulipa dowans.
Wanaotetea malipo kwa dowans ni wenye dowans wenyewe, mawakala wa mafisadi waliopo nje na serikali, na mwisho kabisa wananchi wasio na akili ya kujua jema na baya.
Kwa hili nawapongeza UVCCM mara kwa kuacha unafiki unaowafanya wanaCCM wengi wakumbatie ufisadi.
Hii iwe chachu kwa wanaCCM kuanza kurudisha chama kilichoporwa na mafisadi kwa wenyewe ambao ni wakulima na wafanyakazi!