Hii imekaaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nakei, Feb 24, 2011.

 1. N

  Nakei Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nikijaribu kuwaza naona kama wana jamii ni wengi sana lakini pia hatutofautiani sana kimawazo na kimsimamo. Hivi mnaonaje kama siku moja tuandae mkutano wa wanajamii, lengo la mkutano liwe kufahamiana na ku discuss mambo mbalimbali yanayohusu nchi yetu, huu mkutano unaweza kufanyika mara 1 kwa mwaka. Baadhi yetu tutachanga hela ya ku facilitate huo mkutano. Embu niambieni mnaonaje hili wazo.
   
 2. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ahaaa, unataka kutufahamu mkuu?
   
 3. blackdog

  blackdog Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  wazo zuri sana,
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni wazo zuri kufahamiana,ila nadhani kutakuwa na tatizo hasa kwa maadui huu ambao hawajuani zaidi ya ID zao tu na wengine wanatafutana kwa udi na uvumba wajuane ili wamalizane,so kama itatokea basi tegemea siku hiyo kuwa ya vurugu.
  Nawasilisha.
   
 5. k

  kokwemage Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo imetulia
   
 6. h

  housta Senior Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  This sounds like a set up to me!Machale yananicheza....!
   
 7. N

  Nakei Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hakuna kuogopana, kama utaugopa huwezi kuleta mabadiliko, ni watu jasiri tu ndio huleta mabadiliko na wakati mwingine sio kwa faida yao. Hapa jamii kuna majukwaa mengi mbali na hili jukwaa la siasa, kuna wengine ni wataalam wa masuala ya ujasiria mali lakini hawana mtaji kuna wengine wana mtaji lakini hawana elimu ya ujasiriamali, jamii forums inaweza kuleta mabadiliko mbalimbali yanayoshikika. Huwezi kuleta mabadiliko kwa kujifungia ndani hata kama unawazo mazuri. Hakuna jambo zuri lisilo na changa moto.
   
 8. N

  Nakei Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama Misri, libya na tunisia machale yangewacheza kama wewe wasingeleta mabadiliko unayoyaona leo, wameitana kwa njia za mitandao kama facebook na twitter. Kwahiyo wanajamii wakikubaliana tuanze kuandamana wewe utakataa kwa ajili ya machale.
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ni sawa kiongozi ila inabidi tujipange kupambana na hawa vijana wa ndugu yetu mwema,maake hawakawii kupiga virungu mara maji ya pilipili wakizingizia eti kuna tetesi/sababu za ki-intelejensia.
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwa umeamua kuongelea ujasiri anza humu humu JF kwa kuweka jina lako kamili tukujue kuwa u mleta mabadiliko,unaweza kuleta mabadiliko hapa hapa JF bila hata kukutana na mtu au huithamini michango na ideas wanazopata watu humu?Nilichokisema ni kitendo cha watu kukutana huku wakitumia ID bandia na naomba ieleweke kuwa watu wakikutana na kujuana utakuja kuta mume na mke wana ugomvi humu JF bila ya wao kujua na maisha ya kawaida yanakwenda.
   
 11. h

  habi Senior Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna lolote
   
 12. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Probably upo ryt, with MS-series ndani., zinaweza chapwa kavu kavu..))
   
 13. K

  Kuntukuntu Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo mkutano utamfaa Bw Msando Albert "Wakili mwadilifu" kama anavyojipanua! Ha ha ha ha tunaokujua tunakisikia aibu mkuu! Crap!n!n
   
 14. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wazo zuri sana? Lakini naomba nikuulize unawajua?
   
 15. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  tukutane kwenye maandamano! na harakati za ukombozi!
   
Loading...