Habari Wana bodi leo nimesikitishwa Sana na vitendo vinavyoendelea vya hovyo hapa chuoni na vinafanywa na walimu wa sheria bila Dean of Faculty kukemea Wala kuzuia.
Watu tumepewa likizo na chuo mwalimu anatoa assignment tukiwa nyumban je anao uhakika gani kuwa kila mtu akiwa nyumban anapata...
Wakubwa heshima yenu napenda mwenye kuijua shule nzuri ya wasichana inayopatikana mikoa ya Iringa Mbeya Arusha na Kilimanjaro naomba anielekeze iwe ya michepuo yote.
Pia iwe Ina milikiwa na kanisa katoliki hasa Masista.
Msaada wenu wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.