Naomba kujua shule nzuri ya Wasichana ya A level kwa mikoa ya Mbeya, Iringa, Moshi na Arusha

kuku mweus

JF-Expert Member
May 24, 2018
767
602
Wakubwa heshima yenu napenda mwenye kuijua shule nzuri ya wasichana inayopatikana mikoa ya Iringa Mbeya Arusha na Kilimanjaro naomba anielekeze iwe ya michepuo yote.

Pia iwe Ina milikiwa na kanisa katoliki hasa Masista.

Msaada wenu wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom