Riwaya: Saa za Giza Totoro

Riwaya: Saa za Giza Totoro

@ baharia wa buza unakwama wapi ??? Ulitakiwa tangu mwanzo wakati unaanza kuandika hadithi unapromote kitabu pia...na umekaa kimya siku zote hizo wala hujasema kama unakitabu...leo ndio unatangaza halafu ni short mno hakun maalezo ya kutosha wapi kinapatikana hicho kitabu na walau contact za kwako au mmoja wa mawakala wako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda mwingine muwe mnatumia akili nyie waandishi wa hadithi hizi.
Kama ni ishu ya biashara sema mapema ili ukifikia kwenye Target yako watu tujue kifuatacho ni kulipia.
Pia ukisema mapema siku ya kulipia ikifika tutajua sisi wapenda vitonga kwamba tujikatae vipi.
Halafu unasema kitabu kipo mtaani husemi wapi?
Husemi bei,yaani unakaa kimya tu watu wanakupigia keleleeee weeee basi ukikaa na mke wako unajiona baba la baba kweli na hadithi zako za uwongo uwongo hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msimtukane wadau.

Hakuna kosa kubwa na la kiufundi Kama kumtukana au kugombana na mtu usiyemjua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: y-n
74614839_2710747778947359_8191165716292960256_o.jpg

SAA ZA GIZA TOTORO,
he Darkest Hours!
Hatimaye kimeingia mtaani! Changamkia nakala yako 0719401968
 
@ baharia wa buza unakwama wapi ??? Ulitakiwa tangu mwanzo wakati unaanza kuandika hadithi unapromote kitabu pia...na umekaa kimya siku zote hizo wala hujasema kama unakitabu...leo ndio unatangaza halafu ni short mno hakun maalezo ya kutosha wapi kinapatikana hicho kitabu na walau contact za kwako au mmoja wa mawakala wako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mitaa gani tukifate au lete namba hapa tununue.

Vipi mbona hujui kucheza na wateja?????

Alaaaaaa[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
0719401968
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msimtukane wadau.

Hakuna kosa kubwa na la kiufundi Kama kumtukana au kugombana na mtu usiyemjua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapostia hadi sehemu ya 48 then kifuatacho mtajua wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom