kuku mweus
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 765
- 606
Habari Wana bodi leo nimesikitishwa Sana na vitendo vinavyoendelea vya hovyo hapa chuoni na vinafanywa na walimu wa sheria bila Dean of Faculty kukemea Wala kuzuia.
Watu tumepewa likizo na chuo mwalimu anatoa assignment tukiwa nyumban je anao uhakika gani kuwa kila mtu akiwa nyumban anapata material ya kufanya assignment isitoshe baada ya serekali kuongeza siku 30 za kupumzika kutokana na Corona mwalimu analazimisha tumtumie kwa email hujui wakati tumeondoka tuliacha kila kitu nyumban hebu walimu kuweni na fikra njema.
Nimesoma IJA certificate na Diploma lakini sijawahi kuona kitu kama hicho assignment mnapewa wakati mkiwa bado chuo hiyo sawa ww unatoa katikati ya likizo afu unajisifu.
Please Please madam Dean Halima kemea hili hii itasababisha Sisi tuliopo hapa chuo tusiwe na amani kwa kunachofanywa na hawa walimu hasa Mr Matola.
Inaumiza Sana tunatoa wapi laptop kufanya kazi wakati tuliacha chuo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Kaka na dada zetu mwaka wa pili na wa tatu hata kama mnatushauli tufanye siyo fair kabisa Nini maana ya likizo nitaleta ushahid wa sms za group pia.
#University of Iringa
Sent using Jamii Forums mobile app