Amekufundisha nn my wng maana na me nipo hivyo mpk kuna mda najichukia. Najali sn, staki kuudhi wala kuumiza wengine, staki kupoteza wengine nawapenda kwa moyo wangu, nawahesabu kama navyo jihesabu! Ila sasa malipo 😢 ni mtihan na wala hawajali.
Akili kubwa ni ipi mkuu au ww ulitakaje yaan baada ya kuzaa na jamaa wajikunyate kisa wamezaa!! Na jamaa hakuona kat yao anafaa kuoa hizo ss ni shida zake ila wametokea wanaume wamewaona katkat ya kuzalishwa bila ndoa lkn bado wanafaa kuwa wake za watu!!
Kumbe mnapenda kuzalisha na kuacha half...
Mwambie huyo hatujui wanawek tulivyo! Kwa kaul hiyo mwanamk anaweza akuonyesha upande wak wapili wa shilingi ulivyo half ukabak huamin macho yko maisha yk yt!! Yaan ufanye mambo yko meusi ukamatwe na evidence half ujitie umwamba wa kijinga!asee hata kama utachomoka na kujiona mshind lkn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.