- Thread starter
- #21
Duuu,,,vipi kuhusu malezi, unaishi nao au wapo na mama zao?Nina watoto wawili kila mmoja na mama ake.
Lengo ni kupata watoto 4
Mwakani nitapata wa3 huyu nae atakuwa na mama ake.
Tuendelee kutafuta pesa za kulea watoto wetu na ili waje kurithi..!!!
#YNWA


