Habarini za jumapili wana JF, mimi ni kijana niliyehitimu taaluma tajwa apo juu mnamo mwaka 2015.Nina uelewa mkubwa wa masuala ya sheria za kazi na ajira pamoja na kanuni zake yaani "National labor Laws" nina uelewa mkubwa na namna ya kuzuia na kusuluhisha migogoro maeneo ya kazi na nina uelewa...
Habarini za saivi wana JF. Mwaka 2012 niliondoka nyumbani Arusha nikahamia Dar. Tulipokuwa Arusha tulikua na mfanyakazi wa kinyaturu, basi huyu dada hakuwa mchoyo wala hajui kukataa ukimuomba mchezo.
Mimi binafsi nilikua najipigia siku nyingine kavu kavu siku ingine natumia condom.Lakini pia...
Kama unafuatilia project inaitwa S.U.A (saving underground artist) na kuna project inaitwa Mstaafrika ana mchango mkubwa sana..mbali na hiyo kama ni muhudhuriaji wa ViaVia arusha anapiga sana show za Live na vyombo vyake vya asili.....Ni mwalimu pia kwa wasanii
Ebwana kwa wanaomfahamu vizuri mama C ni moja wa wanaharakati wakubwa sana wa kukuza muziki na sanaa Arusha sana sana maadhi ya HIPHOP..kwa wale wanaojihusisha na hiphop kwny planet huwezi kumbeza huyu mama...lakini pia anasaidia jamii kwa mfano ana charity organization ya kulea watoto...
Katika vijana wanaotumika vibaya ni hawa wa UVCCM ..Lowassa atawaumiza sana kikwete na wenzio wanamshindwa nyie mtamuwezea wapi..embu acheni kelele zenu huu ni mda wa #Hapakazitu Pigeni kazi don hamtamuweza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.