Tamko la UVCCM mkoa wa Arusha kuhusu Lowassa

Tamko la UVCCM mkoa wa Arusha kuhusu Lowassa

Familia yangu peke yake ni zaidi ya watu hamsini na sote ni wanachama wa CCM. Ni kweli chadema inaongoza Arusha kwa Sasa, Lakini CCM bado ipo, na inarudisha hadhi yake Arusha.
....

....CCM Arusha?????

kama kumbikumbi ni chakula basi hata viwawi mbele kwa mbele
 
Umenifanya ni cheke sana mm....Arusha ipi hiyo ,hadhi ya ccm inapungua kila uchwao.....hapa .....diwani mmoja tu...haya msalimie yule aliyekuwa mayor wa kichina Lymo
...

.....Mkuu mhurumie uji wa chumvi noma
 
Mkufanya pumba mbona mtu yeyote atawakejeli!!!!!
 
kikundi cha wapiga makofi, maarufu kama UVCCM, eti magufuli mteule Wa Mungu! hahahahahahaha
 
Huyu Munisi kuna siku tutchoma moto ni kibaka maarufu hapa Arusha...pamoja na Jumanne mjusi ...namfikishia taarifa ache kuwa kibaka ...kila siku ana kwapua pochi za kina mama na anajificha kwenye ccm.....
Huyu ndiye kiboko ya CHADEMA mkoa mzima wa Arusha akisimama kusema lazima CHADEMA itetemeke
 
Huyu ndiye kiboko ya chadema mkoa mzima wa Arusha akisimama kusema lazima chadema itetemeke
Kwel huyu ni kabaka maarufu hapa Arusha.....ila tabia yake ya kuibia watu hapa,Arusha imefika mwisho tutamchoma moto yeye na mjus...pamoja na vibaja wengine....
 
Kwel huyu ni kabaka maarufu hapa Arusha.....ila tabia yake ya kuibia watu hapa,Arusha imefika mwisho tutamchoma moto yeye na mjus...pamoja na vibaja wengine....
huyu lema anamwogopa sana maana wizi wake wote anaujua ndiyo maana akiongea munisi lema hawezi jibu
 
Katika vijana wanaotumika vibaya ni hawa wa UVCCM ..Lowassa atawaumiza sana kikwete na wenzio wanamshindwa nyie mtamuwezea wapi..embu acheni kelele zenu huu ni mda wa #Hapakazitu Pigeni kazi don hamtamuweza
 
huyu lema anamwogopa sana maana wizi wake wote anaujua ndiyo maana akiongea munisi lema hawezi jibu
Na kwa taarifa yako hata yule diwani mmoja mliyenaye sasa kama mtaendelea kufanya vibaka kma kama mjusi Munis kuwa viongoz..mtasahaulika kabisa Arusha.......
 
Na kwa taarifa yako hata yule diwani mmoja mliyenaye sasa kama mtaendelea kufanya vibaka kma kama mjusi Munis kuwa viongoz..mtasahaulika kabisa Arusha.......
mjusi alishaa jisalimisha ila lema hajawahi jisalimisha pamoja na zombe kumtaja
 
Huyu Munis tulisha mkamata alimpiga roba mama mmoja mitaa ya hapa ungalimited......tukampeleka polis ila wakamuachia.....
Munisi ninayemfahamu ni tajiri mtoto na ndiye anayeifadhili ccm kwasasa na wachagga wengi wanamsikiliza sana
 
UVCCM_wakipigana.jpg

Nendeni mkagombanie posho buku 7.

swissme
 
Back
Top Bottom