Share experience au Nishauri kwa Mkasa huu

Share experience au Nishauri kwa Mkasa huu

Kupata uhakika hebu waulize hao waliotoka naye kama ilikuwa pekupeku au walitumia kinga.Ukipata jibu fanya maamuzi.
 
Habarini za saivi wana JF. Mwaka 2012 niliondoka nyumbani Arusha nikahamia Dar. Tulipokuwa Arusha tulikua na mfanyakazi wa kinyaturu, basi huyu dada hakuwa mchoyo wala hajui kukataa ukimuomba mchezo.

Mimi binafsi nilikua nafanya nae mapenzi siku nyingine kavu kavu siku ingine natumia condom.Lakini pia dada huyuhuyu alitembea na ndugu zangu sita,watu wa mtaani, madereva bodaboda, fundi kinyozi, mafundi garage na wengineo.

Wakati nikiwa Dar nikasikia fununu ana ujauzito na akasema ni wangu. Baadae akaulizwa tena akasema hajui ya nani. Mtoto nilimwona 2015 sijaona kama anafanania na mimi ila baadhi ya ndugu zangu wanasema kafanana na mimi kwa mbali. Je kama ni wewe utachukua hatua gani?

Ushauri please!!
 
Tumia tfsida kidogo kwa baadhi ya maneno badala ya kusema lilivyo kwenye halaiki ya watu tofauti tofauti ungesema kufanya mapenzi ama hata kujamiana...Kuliko hilo neno ulilotumia hapo...Weka picha ya mtoto pamoja na yako tuweze ona kama mmefanana.
Picha ya uyo mtt sina
 
Back
Top Bottom