Msaada, natafuta wataalamu wa reserch

Kuna uzi humu wa watu walitoa tangazo hilo hebu nenda kwenye matangazo halafu u search
 
Natafuta wataalamu wa Research/Dissertations
Weka namba hapa nikupigie nahitaji msaada

Research/Dessertation ni fursa nzuri ya wewe kupata uelewa wa kutosha wa kozi yako kwani ili uweze kuandika hiyo dessertation itakubidi usome vitabu vingi na kuangalia taarifa mbalimbali. Nakushauri ifanye peke yako ila uombo mtu wa kuipitia badala ya kuandikiwa
 
Nahitaji watu tofauti wa kupitia na kuihakiki watu tofauti tofauti......
Asante kwa ushauri wako
 
Unahitaji kuhakikiwa kazi nzima kuanzia chapter one yenye background of the study.. statement of the problem.. significant/rationale of the study.. objective of the study.. specific research questions.. scope of the study.. limitation of the study..chapter two yenye theoretical literature review.. key terms.. theory of the study.. empirical literature review.. information gap conceptual framework.. au chapter three research methodology.. yenye research design.. sampling of the study.. sample size.. method of collecting data.. data reliability.. data analysis and presentation.. au chapter four yenye data/results findings na discussion au chapter five yenye summary of the study.. conclusion.. recommendation and area for further study.. NOTE hizo hutegemea na guidelines ya sehemu husika au unataka kupitiwa analysis ya data zako kama descriptive zako.. mean. frequency.. mode.. median.. zimekaa poa.. au unataka kupitiwa inferential statistics zako zako manova.. paired test.. model linear regression.. binary regression au multiple response model ipo poa.. au factor loading analysis yako ume analyze vyema.. kama ndo hivyo sema ila wape kwanza hao ndugu juu waipitie kazi yako ukiona bado hujaridhika nitafute tuyajenge kwa mashauriano zaidi juu ya kazi yako kuona kipi kipo sawa na kipi kimemisi..email yangu ni vicentvicent31@gmail.com
 
Wabongo bhana mshkaji kasema kama yupo aandike namba zake ila wewe unatuandikia mambo mengi tujue kwamba unajua au ni sifa?. Ndo maana tunafeli mitihan kwa kutofuata maelekezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom