Recent content by Konunu Kokojako

  1. K

    Manispaa ya Kinondoni yabomoa nyumba zilizojengwa kiholela

    Mfikirie mara mbili. Hivi wahanga ni wapiga kura wa CCM tu.
  2. K

    I love him

    Ni muda gani tangu uanze kua na hisia nae?
  3. K

    Naombeni ushauri, mahusiano yangu yanatawaliwa na ugomvi na matusi

    Poleni sana. Najiuliza sijui wanaanzaje kuwahusisha mama zenu kwenye ugomvi wenu. Au hao kina mama wanajiweka karibu sana na hao kina shemeji?
  4. K

    Naombeni ushauri, mahusiano yangu yanatawaliwa na ugomvi na matusi

    Chezea 30+ bila ndoa? Nahisi ndicho anachoogopa.
  5. K

    Mbowe: UKAWA Hatutarudi kwenye Bunge la Katiba kamwe (VIDEO)

    Mi sielewi... kwani shida hasa ya UKAWA ni nini?
  6. K

    Rafiki wa Kike Umri Miaka 30 - 40

    Nina madada watatu ni pm tuongee deal
  7. K

    Natafuta Msichana wa Kuzaa Nae Mtoto Wa Nje (Backup)

    Tangaza Dau vizuri na ikiwezekana mkataba uwekwe wazi mapemaaaaa
  8. K

    Shamba linauzwa lipo dakawa wami

    Ukubwa wa heka 1,600 lina hati halali. Kina bwawa na mpaka wake ni mto Sh. 650,000 kwa heka na kiwango cha chini kwa atakaetaka heka chache ni heka 500 lakini pia kwa masharti kuwa hatapewa upande wa mtoni,ataepewa mtoni ni yule atayechukua heka zote.. Mawasiliano ni 0713 77 94 94.
  9. K

    Msitu wa pande

    NAOMBA MUNGU WAZO LANGU LIFANYIWE KAZI Serikali iweke mji wa kisasa kule kupunguza msongamano mjin Kuwe na majengo marefu ambayo yatatumika kwa makazi ya watu wa vipato vyote Kuanzia wanaomudu kupanga kachumba na sebule hadi watakaotaka vyumba vinne Kama yale ya Polisi Barracks, Mabibo Hostel na...
  10. K

    hebu tusalimiane!

    Tulipo nkamu gwangu,yamekukuta yapi gwa kumyitu? Ngoja nimtext dadaako aje msalimiane une ndi pafwa
  11. K

    Nyumba inauzwa kawe maringo

    imeshanunuliwa
  12. K

    Between your legs - PART TWO

    Die Bandede between your legs
  13. K

    Kazi za kujitolea: Hii imekaaje?

    Naomba nifahamishwe kuhusu kazi za kujitolea katika mashirika na makampuni mbalimbali. Kuna wengine wanalipa Nauli na Chakula cha mchana, wengine nauli tu na wengine hawamlipi chochote huyu anayejitolea. Hii imekaaje? Namaanisha ni utaratibu sa ofisi yenyewe au maamuzi binafsi ya bosi au kwenye...
  14. K

    Internship

    Sio kweli, msihukumu watu kirahisi. Kutoka kwao kwenda kujitolea mkoa mwingine ni Ngumu ila kwa ajira watu wanaenda!
  15. K

    Whitesands Hotel wanalipa sh 8,000/= (elfu nane) kwa mwezi

    NAAMINI 100% Katika harakati za kutafuta kazi nimeshawahi kukutana na mazingira hayo! Unatumika sana tu ila unacholipwa ukikigawa kwa siku 24 za kwenda kazini unapata nauli tu ya kwenda kazini na kurudi kwa wale wanaopanda gari moja. Imagine unalipwa 25,000/= ukikataa jamii haikuelewi eti...
Back
Top Bottom