Internship

spike

Senior Member
Jan 8, 2011
112
15
Wadau habari zenu, nimemaliza SAUT Advanced diploma ya accountancy natafuta internship, hata bila malipo nitajitolea tu. Nipo dar, Please wadau tusaidiane
 
wadau habari zenu, nimemaliza saut advanced diploma ya accountancy natafuta internship, hata bila malipo nitajitolea tu. Nipo dar, please wadau tusaidiane
ata kwa wewe kuilipa kampuni hupati kizembe,,,, uasibu kuna kubebana
 
unaweza kuja kufanya kazimakete?
Ukisema Makete sijui kama atakubali. Watanzania wengi wanajifanya wamezaliwa Dar na Arusha. Wachache Mwanza, Morogoro na labda Mbeya. Hawaendi kufanya kazi kokote zaidi ya 'huko kwao'.
 
Ni field? napata shida kidogo kutambua kama kuna tofauti kati ya intern na field. kama field nitafute namba 0713-357542
 
Ukisema Makete sijui kama atakubali. Watanzania wengi wanajifanya wamezaliwa Dar na Arusha. Wachache Mwanza, Morogoro na labda Mbeya. Hawaendi kufanya kazi kokote zaidi ya 'huko kwao'.

Siamini sana katika hili, ni dhana tu.
Jinsi ajira zilivyo ngumu watu hawana hizo
Nimezaliwa Dar na elimu yangu yote nimepata Dar.
Kazi ya Kwanza nilifanya Ngara, then Arusha, Nachingwea na sasa Angalau nipo katika jiji lingine nimepapenda sana kikazi lakini sio Dar!
Na huko kote nimekutana na wengi wanaotoka Dar, na Dodoma na Kilimanjaro, wanaotoka Mbeya na Mwanza ni wachache na mingine
 
Ukisema Makete sijui kama atakubali. Watanzania wengi wanajifanya wamezaliwa Dar na Arusha. Wachache Mwanza, Morogoro na labda Mbeya. Hawaendi kufanya kazi kokote zaidi ya 'huko kwao'.
ingekua nalipwa sawa, najua kabisa nitakua nauhakika wa kula na sehemu ya kulala. Lakini itanicost sana ndio maana naomba hapa hapa mjini kama gharama iwe nauli tu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom