thanx Heart... nashindwa kukuquote coz net inasumbua.... lakini kujenga urafiki pia inaniwia vigumu lakn nitajitahid kuwa karibu nae
Unaogopa nini sasa?Basi anza kwa kutoka nae movie tena muangalie zile za kutisha ili uwe unajifanya unaogopa unamkumbatia pale kisa uoga then unapata na mbinu mbadala nyingine
Weee nomaaa kumbe ndio Idea zako hizo
Au ampe simu yake amsaidie settings au amkaribishe chapati..
Amen... Nashukuru kwa kunikumbusha mpendwa. Ubarikiwe
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Chezea mimi wewe.Labda kama sijakuamlia......lol
Kazi kwako kwa watu 9 sasa
Habari zenu Guys.... mc u so much...... natumain wote mko poa.... jamani mwenzenu nimempenda Mkaka.... mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi.... natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.....i don knw wat to do.... i am in love
Mwanaume wa kumpenda hivyo hua ye hana upendo kabisa,hata kama akikukubalii utaishia kuumiaa tu,muache akupende yeye, wanaume wa kibongo ukimtaka na kumwambia atakuona luzi labda kama umemtaman akupige mashine halaf ukate kona lakin kuweka makazi ni bure,wallah nakuambiaa
Ni muda gani tangu uanze kua na hisia nae?Habari zenu Guys.... mc u so much...... natumain wote mko poa.... jamani mwenzenu nimempenda Mkaka.... mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi.... natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.....i don knw wat to do.... i am in love