Recent content by konar

  1. K

    JamiiForums Tanzania Umeme kukatika ghafla

    Dodoma pia wamekata, RIP Mwendazake enzi zake umeme ulikuwa wa uhakika
  2. K

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Kimkakati wa Maendeleo na Ubonereshaji Fursa za Ujasiriamali Zimekwama Wapi?

    kichwa kinauma, ngoma nzito, dereva jasho linamtoka
  3. K

    JamiiForums Tanzania Moral Destruction kila binti mtaani ana mtoto?

    Ma baa medi inaweza kuwa 97% wana watoto, ulichosema ni kweli, tatizo ni hiyo asilimia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

    Miaka 38 unalilia urithi?, baba yako pia alirithi?. Achana na mali za urithi, baba yako ndio anamamlaka ampe nani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Banda la kupumzikia ng'ombe linatakiwa liweje?

    Mkuu kama una picha ya hilo banda tupia hapa tujifunze Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kuanzisha mashine ya kukoboa na kusaga nafaka

    horse power ya 20? ndogo sana kwa tani 10, hapo atafute ya kuanzia hp 30, akipata ya England ni nzuri zaidi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isihamishie Makao Makuu ya nchi Moshi?

    kaeni hapo hapo, sio keshokutwa wote mpo dar
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wafahamu watu mashuhuri na nyumba wanazoishi

    huku sisi watuache na vibanda vyetu vya square metre 400
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tangu nimekuja UK kusoma, I real miss home Tanzania. I real miss Rosie

    Acha kujimwambafai ndugu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nawatakia asubuhi njema watu wafuatao

    SALAM KWA BETO BOYS POPOTE PALE WALIPO
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NATAFUTA WA KUOA FROM KAGERA

    TEHE TEHE, UMENICHEKESHA NAONA UNAJIONGEZA
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zahera yuko kibiashara, Yanga zindukeni

    SI JAMBO GENI KWA KOCHA KUMBRAND MCHEZAJI ILI APANDE THAMANI, TATIZO NI PALE LINAPOFANYIKA KWA MASILAHI BINAFSI, UTAKUTA HUYO MOLINGA ANA MKATABA WA MWAKA MMOJA TU
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa watu walioko Dodoma nahitaji mkopo Wa mil.3

    kiwanja kina hati?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kipanya Tena

    NGOMA IMECHEMSHA
  15. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini Mkataba wa kununua ndege mbili za aina ya Airbus

    Tumetoa cash au safari hii tumejiongeza
Back
Top Bottom