Roadmap
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,898
- 5,797
Wakuu mtaani sasa ivi karibu 70% ya mabinti wenye age above 20 wana watoto kwa kweli inatisha sana tena sana ajabu sasa hawa mabinti ukimuliza vipi baba yake yupo wapi atakavyokujibu utadhani hiyo mimba imejitunga yenyewe tu bila yeye kutoa papuchi binti unakuta anajifanya very smart na hataki habari za wanaume apo apo ana watoto wawili kazalishwa tu tena baba tofauti?
Nahisi kizazi kijacho kitatoa jasho sana kupata wake ambao hawana watoto mana kwa sasa kila mtu ni single mother halafu hawa single mother wengi ndio huaribu psychology ya watoto kuhusu wanaume huwajaza sumu kubwa sana wakati ujinga ni wao walifanya kubeba mimba katika mazingira ambayo hawakuwa na uhitaji wa hao watoto, kama taifa na wizara itoe elimu kwa hawa single mother mana ni Bomu litakalokuja kulipuka alafu ilivo sasa mtoto ambae akilelewa na mzazi mmoja the likely kama ni wakike nae kuja kuzaa kabla ya ndoa au wakati ni kubwa saana hili nina proof nalo nahisi maji hufata mkondo kama mtoto ulimzaa kiholela uko chuo au shule na baba mtu humjui io situationa nayo itamrudia tu mtoto nae atàfanya uliyoyofanya Tuwe makini sana hawa mabinti huficha sana kama ana mtoto akiona unataka kumuoa mimi nina mwanangu alikuwa ni mtu wa misuli hataki kujua wanawake na tabia zao na maumbile yao matokeo yake amekuja kuoa demu tayari ana watoto wawili bila kujua amekuja kujua baadae ilikuwa mtiti sana kusuruhisha.
Japo waswahili wanasema KITANDA HAKIZAI HARAMU.