Kwanini Serikali isihamishie Makao Makuu ya nchi Moshi?

Kwanini Serikali isihamishie Makao Makuu ya nchi Moshi?

antipas

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
412
Reaction score
417
Nimekaa nikatafakari uzalendo wa Wachaga. Maarifa na akili walizonazo hawa viumbe juhudi binafsi.

Napendekeza makao makuu ya nchi yajengwe Moshi. Nguvu itakayotumika ni ndogo sana na litakuwa jiji la kihstoria katika Africa. Na nafikiri Wachaga wangekuwa hawaishi nchi hii baadhi ya maendeleo ya nchi hii yasingekuwepo

Naomba kuwasilisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahaaaa......udharudi kanisani au umeamkia Mbege Jombaaa.....

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Shida itakuja sasa hiyo Vita itakayoanza, kwani Mrombo hawezi kukubali kuishi na Mmarangu na wataanza kugombana kila mtu atataka Mji mkuu uwe kwake, Mmachame hawezi mkubali Mrombo na Mkibosho na Mmarangu ni mbwa na paka, hivyo ili kuokoa ,,genocide” ni bora tuwasaidie hao wanaojiita Wachaga kwa kuwafanya kuwa sehemu ya Watanzania vinginevyo watachinjana kama kuku, kwani kitu pekee kinachowaunganisha wanaojiita Wachaga ni Tanzania, bila ya Tanzania hakuna Wachaga, bali kuna Mmarangu, Mrombo, Machame, Kibosho ndo maana Mbowe Machame kaoa Marangu ili kujaribu kuleta suluhu kidogo, ...
 
Back
Top Bottom