Umeme kukatika ghafla

Umeme kukatika ghafla

kwenye huduma za kijamii mwendazake alikua mkali sana ndo maana mambo ya kipumbavu yalipungua, mama akiendelea kuwachekea tunarudi kwenye majenereta soon
 
Jaman tanesco arusha vip mbona mnakata umeme bila taarifa mnatuaribia biashara
Moshi nako umeme umekatika ghafla usk huu saa mbili kasorobo tena umekatika vibaya Kama Kuna short. Sijui Tanesco ina shida gani??
 
Kinondoni Moscow hapa Umeme upo .....
 
Kuna watu hawana nia ya kuongoza wapo tu kwakua katiba imetaka hivyo...the fact kua tangu waapishwe hawajawahi fanya ziara yoyote ktk wizara wala mashirika ya uma, hawaendi field kuongea na wanainchi wala kutatua kero ambazo wanainchi wanazilalamikia it'a sign kwann tupo hapa tulipo...time will tell, Muda ni mwalimu mzuri.
 
Back
Top Bottom