Recent content by kombwe

  1. kombwe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Naunga Mkono Serikali kuongeza majina (Kama kweli hilo limefanyika) kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kama kura kwenye nchi hii haibadili chochote kwanini tupotezeane muda?.
  2. kombwe

    JamiiForums Tanzania Italy nchi nzuri pengine kupita zote duniani

    Vipi ukiwa black mademu wa huko wanapigika? Maana kama hawapigiki ni noma. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kombwe

    JamiiForums Tanzania Wangoni na wamatengo waogopeni

    Nilipoachwa na mwanamke wa kingoni nilichanganyikiwa sana, hasa nikikumbuka mambo ya kitandani. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kombwe

    JamiiForums Tanzania Ndoto inayonisumbua

    Hiyo mambo ya dini inawafaa sana watu wenye IQ ndogo.
  5. kombwe

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mchawi aliyekoswa na kitanzi mara 3

    Duh!.
  6. kombwe

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Ramadan shadary mrithi wa Mh Joseph kabila, Historia Yake kwaKina

    Wakati nilipofika kuanza form one Irambo secondary school nilimkuta Joseph kabila akiwa form five yeye na pacha wake Josephine, umri wangu unafanana na Makamba na Zitto hivyo Kabila ni mkubwa kidogo kwa hao watu.
  7. kombwe

    JamiiForums Tanzania Ukipenda kweli ukatendwa au kuachwa utafanyaje?

    Ukiwa katika wakati kama huo huwezi fikiria utakujakupenda tena, kila jambo linaamuliwa na muda upe muda nafasi yake, baadaye utakuja kushangaa ilikuwaje ukapenda kiasi kile.
  8. kombwe

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Aisee hao jamaa ni mashine.
  9. kombwe

    JamiiForums Tanzania wasichana wa kabila la wakinga wana tabia gani?

    Ushirikina tu mkuu otherwise wako poa sana.
  10. kombwe

    JamiiForums Tanzania TBC kurusha LIVE Mwaka mmoja wa RC Makonda: Ayubu Rioba, kwanini usijiuzulu?

    Waacheni TBC wafanye wanavyotaka, kwani nani anaangalia siku hizi?.
  11. kombwe

    JamiiForums Tanzania Ananilazimisha nimtongoze binti yake mlokole

    Duh! nikuua tembo kwa ubua.
  12. kombwe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji nijue ni nani aliyegundua punyeto duniani

    Haiachiki mkuu nimejaribu sana.
  13. kombwe

    JamiiForums Tanzania Picha: Siku ambayo Rais Magufuli alipata PHD yake akiwa waziri

    Mmeona Ben Saa8 hayupo?.
  14. kombwe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumsaidia mume wangu kuongeza kipato chake?

    Nimekupenda tena sana, endelea na moyo huo ili upande mbegu kizazi kipya wajifunze kwako.
  15. kombwe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania: Waliokamatwa Malawi si majasusi. Ni waumini wa Kanisa Katoliki Songea(CARITAS)

    Wajieleze vizuri na siyo majibu mepesi, kama ni mgodi wa uranium mbona wanao hapo kwao Likuyu Namtumbo walishawahi kwenda huko?.
Back
Top Bottom