wasichana wa kabila la wakinga wana tabia gani?

Yaan we mfungulie duka tu LA mtaji wa million tano au hata moja then MPE miaka miwil mtakuwa na duka LA jumla wateja wanapanga foleni
Unamaanisha ajiandae kutoa kafala ya mtoto,mama,baba,nk.ili ndani ya miaka mitano awe milionea??? Dukani hakuishi wateja yaani hadi foleni hata kama jirani kuna fremu ya duka kama lako hawaendi ng'oo. Kwa ndumba nawaaminia Sana. Kaka ndo unauaga umaskini ila kwa majuto ya kudumu pindi damu ikianza kumwagika ni balaa
 
Sijui mkuu!!! Mimi ndo nimesikia hivyooo...
Alafu mama anapenda kusema "unakua m'bishi kama mkinga!!!" Sijui ni wabishi pia?
Umesikia tu na hujahakikisha.
Ubishi wa mkinga ni kwa sababu anakomaa na kile alichonacho na mpaka anafanikiwa.

Ni ule ubishi wa kukomaa sehemu hata ambayo wengine wameikimbia.
Atabaki hapo mpaka afanikiwe.
Hata umshauri vipi hatakubaliana na wewe.
 
Mke wa kikinga ni mtafutaji sana mkuu.
Na wote wanaofanikiwa humu mijini dukani au miradi anasimamia mke.
You can imagine wengi wao wamesoma hadi std 7 lakini Kwenye biashara yake humdanganyi.
Atakuwekea mahesabu yake vizuri mpaka matarajio yaliyokuwepo.
Siri ya kufanikiwa kwao ni kuwa wagumu.
Huwezi Ona mwanamke wa kikinga anakula nyama choma na bia ovyo ovyo.
 
Wakinga kama wakinga ni die hard!!! Yaani hakimbii kitu. Kwenye biashara ni watata sana... Atakomaa adi atoke. Si wa kukata tama kirahisi.
Sifa nyingine ni washirikina saana, unaambiwa mpemba na mkinga hawakai pamoja... Ata kariakoo eneo akiamia mkinga, mpemba atahama tu.
Swadakta, hapa kuna kaukwel
 
Sijui mkuu!!! Mimi ndo nimesikia hivyooo...
Alafu mama anapenda kusema "unakua m'bishi kama mkinga!!!" Sijui ni wabishi pia?

Haha ubishi labda sababu ya ufupi. Ukipata bwana wa Kikinga wala hata usijiulize, wako vizuri sana utafurahi mwenyewe
 
kuna msemo kua bora uiache dhahabu,umuoe mkinga.
km ni mkinga haswaaa,lazma awe na sifa ya utaftaji mali,
wanajituma saana hawakati tamaa. haswa wanawake,
wavumilivu hata km huna mali na una ishi kwa tabu hawakimbii.
ukimuoa usimuweke ndani mfungulie mradi.

nb; hawajui kujiremba,c wafujaji(wabahiri)
ushirikina ni tabia,wapo washirikina na wengine hata hawana hio,km ilivyo kwa makabila mengine.
 
wakuu,niko katika mahusiano na binti wa kikinga na kwa namna tunavyoenda nimemwahidi kumuoa as soon as possible.ila kabla ya yote naomba kupewa sifa za wasichana wa kikinga ziwe nzuri au mbaya poa tu.
Mkuu siku hizi mambo ya tabia za kabila fulani hayana mashiko point ni kujua tabia za uliyekutana naye bac na si kabila lake maana inaweza kupewa tabia za wakinga wa vijijini kubwa uliye naye kakulia mjini hata salami ya kikinga haijui na watoto aliokuwa nao pamoja ni makabila mchanganyiko sasa hapo unadhan atakuwa na tabia sawa na wakinga original unaopewa tabia zao hapa
 
Unamaanisha ajiandae kutoa kafala ya mtoto,mama,baba,nk.ili ndani ya miaka mitano awe milionea??? Dukani hakuishi wateja yaani hadi foleni hata kama jirani kuna fremu ya duka kama lako hawaendi ng'oo. Kwa ndumba nawaaminia Sana. Kaka ndo unauaga umaskini ila kwa majuto ya kudumu pindi damu ikianza kumwagika ni balaa
Wewe wasema....
ila haya si ya kweli mkuruu
 
Back
Top Bottom