number41
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,055
- 1,473
Erasto Nyoni!!
Ivo mapunda, joseph haule na mdogo wake, mangweah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Erasto Nyoni!!
Asee mlongo utamili pa mpitimbi ne nitamili kumadukan vee vijova pa sendamkuu mbonaumetumia jina langu hapo la mwanja? mpitimbi kumadukani njokakati mseo muungano au mkurumusi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha niyofwiniFiyi vya maheli sana vya nihotola..!! kuwanji cha ilonda nsikana yule ni hyenge hya mahele sana… Nihoto kulova mawondi, sipa, mbelel, mbasa, mbufu….. Niholoto kulema nyabwaka, mandondo, mponga, malavi… Nihoto kudima mene, ng'ombi, ....
Gayi gamahele sana ganihotola, kugalowo goha panapa, nihoto kumemesa ja vikemelee kwa kisongo, kwali seva kwali..!!
Sifa zao kuu ni zipi hadi ulichanganyikiwa kuachwa na Mngoni?Nilipoachwa na mwanamke wa kingoni nilichanganyikiwa sana, hasa nikikumbuka mambo ya kitandani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wangoni kwa majungu na ushirikina, usipime!nimeoa mngoni ni mkarimu Sana na mchapakazi Sana ni sifa ya kwanza nilizipenda kutoka kwake
Nina mchepuko wa kingoni, dah wallahi!wala hakuna tofauti wote niwa moja wewe tu na roho yko
umesahu pia tuna sifika kwa utamu
Heee...kweli dini wanapenda sana...na kuimba nyimbo za misiba kuna jirani yangu hapa binti ya kingoni..anatishwa kwa uongo mpaka uwa najiuliza hivi huyu binti mngoni kweli. Mpka nikawa naogopa kusema me mngoni..
hao warangi umalaya wanaufanya na nani? kama sio wote tu ni malayaila wamalaya sanaa nao kama warangi vile na wanyakyusa
Wee jamaaa....Vangoni vajovelahi kuhongana, kazi yingi viweza lepa. Kilu kilu kuhongana , vandu vihongana jamani kusongea, hadi lukela ukapita mumagesti huyuwana sauti ya mdala ijova homola uti nikatundi makocho.