Mkuu, unavyosema ni sahihi kabisa, katika taarifa mbalimbali za habari, unakuta habari za CCM ni mpaka 3 na tena zinaelezewa kwa kirefu, lakini cha kushangaza habari za vyama vingine, mfano katika taarifa hiyo ya habari kulikuwa na habari za CHADEMA esp mkutano wa Raisi wa awamu ya 5 Mh. Dr. W...