Recent content by Kiyago

  1. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Ni kweli unapata raha

    [emoji40][emoji40][emoji40]
  2. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki mahusiano yetu yawe wazi

    Huyo anatafunwa na boss wako mkuu , Ushauri kula mzigo km kawaida thn ondoa malengo ya kuoa hapo jau
  3. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wafanyabiashara wa Tanzania

    Ukiona hivo hawana njaa...mm hata km nimefunga ukinipigia simu nakuja kufungua na kukuuzia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku

    Huyo kuku tunamuita mvia(sawa na mtu asietaka kufanya kazi) mchinje haraka na mayai leta hapa
  5. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Kama ulipitia haya yote basi wewe kwa sasa unatambulika kama muhenga

    Mi muhenda wa mengi kati ya hayo , lkn ni muhenda zaidi wa kuchelewa kurudi shule muda wa mapumziko na huambulia bakora
  6. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Mkichat kila wakati "Niambie"

    Ok niambie?
  7. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Mimi najutia kwa orodha hii ya wapenzi, wewe je?

    Hapo kweli hamna mdogo wangu? Iyo zainab nna wasiwasi nae bt any way umenigegedea jiandae na ww kugegedewa
  8. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Aingia matatani baada ya kukutwa kapika mchana kwenye baa yake

    Zanzibar haiongozwi kwa misingi ya kidini wala misingi ya kisheria ,kwan serikali ya Tanzania inaongozwa kwa misingi ipi au matamko tu?
  9. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Mume wangu huwa hatandiki kitanda

    Nilijua sitandiki mm tu kumbe tupo wengi hivi?
  10. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Iran yasafirisha chakula kuenda Taifa lililotengwa la Qatar

    Kwan wanawapelekea bure?
  11. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Kagame awa mmoja kati ya watu 100 wanaoheshimika zaidi duniani

    Kwa Mungu je ni wangp mkuu?
  12. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wazuri wenye mvuto wanauza Bar! Kwanini hawaolewi na kuwekwa ndani??

    Wanawake wazuri wanauza Bar wameanza lini??
  13. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Tumia muda wako kusoma hapa upate funzo

    Ile pikipiki alimuachia nani tena uyo jamaa? Au ndio zile bongo movie za jini kukatiza barabarani huku anaangalia kushoto na kuliko asile mzinga?
  14. Kiyago

    JamiiForums Tanzania Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

    Umezipata wapi? Isiwe ndio nyinyi mnarithi halafu mnajifanya wapambanaji
Back
Top Bottom