Habari zenu waungwana,
Niko na huyu mwanamke karibia mwaka sasa na tunafanya kazi ofisi moja pia tunaishi mtaa mmoja huku Kinondoni ingawa si nyumba moja ila ni majirani tu na mara nyingi huwa naenda kulala kwake ila mara chache yeye hulala kwangu, papuchi naila nitakavyo ila sasa huyu binti hataki kabisa mahusiano yetu yafahamike na marafiki wangu wa kazini.
Napata hofu sana ya kwanini anataka tuendeleze usiri huu? Mahusiano yetu pia hayajawa rasmi kwa maana ya kutambulishana nyumbani na kwenye ilo pia amekua mzito sana na kila ninapomgusia hilo huamisha mada au anasema muda bado, binafsi nampenda sana ila najawa hofu labda hayuko comfortable namimi.
Naamini humu JamiiForums ni mkusanyiko wa wataalamu na wajuvi wa mambo ingawa mangumbalu wapo pia, hivyo niwaombe basi ninyi wajuvi wa mambo mseme lolote ili nami nichangamshe ubongo wangu na kujipa maamuzi rasmi 2018.