Recent content by kiwaki

  1. kiwaki

    JamiiForums Tanzania JamiiForums bar and Restaurant

    Kisungura
  2. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi ya kujenga "ngazi za kuelea elea" floating stairs

    Kazi nzuri hongera nitakutafuta
  3. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi msanii Dullayo?

    Utakuwa umetoka kuangalia Oldies channel 5 wamepiga hiyo ngoma
  4. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuchelewa/Kushindwa Kufanya Utekelezaji Wa Hukumu, Natakiwa Nifanye Nini?

    Pole sana, hadi hapo huwezi pata msaada kutoka katika hiyo mahakama ambayo nina uhakika ni primary court, kama hakimu ni yule yule nenda kwa boss wake ambae ni hakimu wa mkoa, ukiona anakuzungusha panda ngazi ya juu ambayo ni kwa msajili..kisha rudi hapa kutoa mrejesho
  5. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Dudu Baya unasikitisha. Mliomtumia kumchafua Ruge mpeni msaada

    Mambaa oil chafuu
  6. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa Sumbawanga unatesa Wananchi

    Yametimia, kiongozi mwingine yupi anazingua
  7. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

    Kuna hali naiona miqson anaingia nyavuni
  8. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Rama Mbwaduke ni shujaa asiyeimbwa

    Upo sahihi jamaa uwa namuelewa sana, hasa akianza kutoa takwimu
  9. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    Kipindi hiki Ukiwa na floopy disk ndio mjanja kabla ya CD then Flash disk
  10. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Haya mambo haya siku mkisikia kiwaki wamenipa shavu msinipongeze kwanza, anything can happen at any time
  11. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) aikabidhi kiwanja CHADEMA Mbeya Mjini

    Kile ki manzi chake faiza hata hii kitamind
  12. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha rasmi mchezaji wa kwanza saa saba mchana

    Saidoo
  13. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Treni ya Mizigo iliyobeba Kemikali yapinduka Morogoro

    Poleni sana hiyo bara bara naijua ina matuta sana, nashauri shirika la reli wapunguze matuta
  14. kiwaki

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwako Injinia Hersi

    Pia injinia kama rais wA club, aache muda mwingi kushinda na team, wachezaji wanamzoea sana.. awe anatokea kwenye matukio muhimu hata wachezaji wakimuona siku hiyo wanajua kuna jambo zito
  15. kiwaki

    JamiiForums Tanzania FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

    Zalan 2 Yanga 1
Back
Top Bottom