Mkurugenzi Manispaa Sumbawanga unatesa Wananchi

Mkurugenzi Manispaa Sumbawanga unatesa Wananchi

Unakuta daladala hakuna na bajaji mida hiyo hakuna, unalazimika ulale stand ili usiachwe na mabasi
Hii sasa sio shida ya mkurugenzi. Wafanyabiashara watakuwa wanaingiza pesa nyingi sasa awahi kuamka ili iweje.
 
Wewe siyo mwandishi wa Habari, kwa kifupi wewe ni Kanjanja tu maaana umeshindwa kutafuta uwiano wa habari
 
Hata Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mlimba naye changamoto kubwa anajfanya anajua kila kitu na Watumishi wake wengi wanahama. Anazingua sana huyu jamaa aisee, anawatesa na kuwanyanyasa Watumishi anaifanya ofisi kama mali yake.
 
Nishapeleka ripoti hafikishi mwezi october ofisini yule mkurugenzi
 
Asingefanya vile ile stendi ya Katumba ingekosa uteja.

Ivyo ili mlazimu kutumia nguvu ili watu waende kule.
 
Umeandika kitu Cha msingi sana kwa kasi ndogo ya ukuaji ya mji wa Sumbawanga hakukuwa ulazima wa kutanua stendi kupeleka nje ya mji.
NB.Mkoa wa Rukwa haujawahi kupata viongozi wenye nia ya dhati ya kupigania maendeleo Kila kitu hovyohovyo tu elimu hatufanyi vizuri,RC umeshindwa kusimamia ipasavyo kumalizia ujenzi wa chuo cha VETA huko Katuma.
Wakazi wa Rukwa nanyi mmezidi upole mno huu ujinga huwezi kuukuta mikoa km Arusha na Kilimanjaro.
Kuna Uzi humu wa 2014,niliandika.viongozi wa sumbawanga ni WA hovyo hovyo.inakera sana hii
 
Back
Top Bottom