Recent content by KIUNDU YAKUTI

  1. KIUNDU YAKUTI

    Diamond exclusive

    Ishu ni rahisi tu hapo, mnachotakiwa ni kujibu swali linalotakiwa kujibiwa tusiwe wagumu wa fikra jamani
  2. KIUNDU YAKUTI

    Diamond exclusive

    Mamboz na weekend
  3. KIUNDU YAKUTI

    Je wanawake hufurahia 'Quicky'?

    Watu naona midadi imeshaanzia Kupanda humu humu baada ya hii post kutundikwa [emoji23] [emoji1] [emoji2]
  4. KIUNDU YAKUTI

    Wahindi wanatuharibia nchi

    Jamani wahindi nao ni binadamu kama sisi tu sidhani kama Kuna tofauti. Kama ambavyo kuna baadhi ya Watanzania ambao wana roho nzuri, mbaya na za wastan na ndo hali ilivyo pia kwa wahindi.
  5. KIUNDU YAKUTI

    Vitu sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala

    Kwa taarifa yenu POPOBAWA bado yupo mjini anapanga mikakati mipya. ..
  6. KIUNDU YAKUTI

    Waziri wa Magufuli: Tatizo Serikali iliyopita lilikuwa ni mkuu wa Kaya

    Mkubwa kajibu kitaaluma sana, hajakurupuka hata kidogo Viongozi kama hawa ndo wanatakiwa kwenye SERIKALI
  7. KIUNDU YAKUTI

    Makombora ya Iran yanafika kila kona Israel

    Swali rahisi tu, sisi Watanzania tunajua nini kuhusu vita? Tusiongelee mambo ambayo kwa asilimia kubwa hayajawahi kututokea zaidi ya kushuhudia hivi vitu kwenye T.V tu. .. haya mambo tuwaachie wale wenye uwezo nayo. Sisi kwa asilimia kubwa hatujakuzwa ktk masuala ya kivita, zaidi ya kimaisha
  8. KIUNDU YAKUTI

    Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

    Baadhi ya watu wengi hawajapata Elimu ya kutosha ya dini na hivyo huishia kufuata mikumbo kwa uwoga ambao hata hawaufahamu na Matokeo yake huishia kuwa kama unavyosema hapo
Back
Top Bottom