Diamond exclusive

Wanajamii forum natumai weekend inamalizika vizuri kwa sisi sote.
Najaribu kuuliza hivi tokea diamond ameweka kile kiduku kichwani ni lini ameshawahi kuonenaka amekinyoa?
Wenye uthibitisho wa reply na picha tukiziona au mwenye uhakika wowote anaweza kujibu
Ishu ni rahisi tu hapo, mnachotakiwa ni kujibu swali linalotakiwa kujibiwa tusiwe wagumu wa fikra jamani
 
Back
Top Bottom