Recent content by Kiumbemzito

  1. Kiumbemzito

    Vurugu za Masasi: Upotoshaji wa vyombo vya habari, ukweli ni huu hapa...

    Nafikiri sasa umefika wakati ambao serikali inabidi ijitazama yenyewe , ili waondoke mapema kabla hawajaondolewa.Katika nchi yetu haijawahi kutokea wananchi kuukataa utawala kama inavyo ukataa utawala huu wa kinyama wa kinyonyaji kwa wananchi wake.Bora tuwe wakimbizi kwenye nchi yetu wenyewe...
  2. Kiumbemzito

    CCM yafika pabaya: Dk. Kigwangala, Bashe watishiana bastola Nzega!

    MH, Pasco Bastola nayo ni bunduki ndogo ya mkononi au kwa kingereza wanaita 'Hand Gun' kwa hiyo isikutatize kwani watu wengi tumezoea Gobore ndio Bunduki.
  3. Kiumbemzito

    Nukuu Sita za Nyerere ambazo CCM hawana budi kuzitafakari kwa makini sana leo hii

    Kaka hapo nimeiona ya saba ndio ya kweli, na karibia itatokea.
  4. Kiumbemzito

    Hili la warioba ni la kweli? Wana jf simwelewi?

    AWALAUMU WATU WANAOPINGA MALIPO YA DOWANS, ATAKA MAHAKAMA ZIHESHIMIWE Raymond Kaminyoge WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema haoni nia ya dhati kwa viongozi wa ngazi za juu wa serikalini kupambana na ufisadi badala yake, suala hilo limekuwa likizungumzwa kisiasa.“Viongozi wa...
  5. Kiumbemzito

    Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

    Kichungu huonjwa Kipya kinyemi ingawa kidonda Hata 6 ilikuwa 9 utamu wa pipi mate yako mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio kukopa harusi kulipa matanga by Dr. Remy Tajiri na gari yake masikini na watoto By Dr Remy Anahusu!!!!!!!!
  6. Kiumbemzito

    Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

    Kuku ni kuku jogoo ni jina by JUMA NATURE fom TMK Wanaume.
  7. Kiumbemzito

    Nimetokea mahabusu kumuona Lema leo

    Umaarufu hauji kijingajinga namna hiyo! kukaa jela pasipo jambo la maana ni sawa na kulazwa hospitali ya rufaa ukitibiwa mafua kwa mtu mweusi. simuungi mkono hata kidogo , anaweza akawa ni mmoja kati ya wale wavivu wa kufikiri!
  8. Kiumbemzito

    Benard Membe: Tanzania hatuungi mkono Kenya kuwavamia Al-shabaab

    Membe yuko right cos Al-shabab sio wanaoongoza serekeli ya Somalia, Rais wa somali amelaani kitendo hicho cha serikali ya Kenya, Kimantiki Kenya haina mamlaka ya kuwasaka Al-shabab Somalia.Pili Membe ametumia busara bila kukurupuka. Mabomu yakianza kulipuka Kariakoo, Msimbazi, Feri na kujeruhi...
  9. Kiumbemzito

    Uwepo wa Al-Shabaab nchini ni ishara ya udhaifu wa vyombo vyetu vya Usalama

    Hawa watu Al-Shabaab wako kila mahali hata mtaa uliopanga wapo tatizo wako kimya kwa sababu hawajachokozwa na serekali au kiongozi kuingilia mambo yao.
  10. Kiumbemzito

    End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    Watu wamekesha toka enzi za yesu mpaka leo!
  11. Kiumbemzito

    Hakuna haja ya Uchaguzi 2010!

    OYA MKUU. UCHAGUZI MUHIMU KWANI WENGINE TUNATAKA KUUZA SURA TU. matokeo tunayajua.
  12. Kiumbemzito

    GE2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Una uliza ndevu kwa Osama? Ni JAKAYA WA MURISHO WA KIKWETE. "A SILENT FOOL IS CAUNTED WISE"
  13. Kiumbemzito

    SMZ yakataa waraka wa wakatoliki

    Tatizo nyie watu wa bara mnamambo! kama ngoma mpigiwe mcheze wenyewe Aseye wa unguja mlisikia lini tumeandika warka! tunashangaaa? sasa kama zogo lenu wenyewe sie wa visiwani latuhusunini? MI NASEMA TENA NASEMA NAMUUMNGA MKONO ALIYESEMA MWISHO CHUMBE! TUMEWAVUMILIA WA BARA SASA MNATAKA KUTUTIA...
  14. Kiumbemzito

    Comoro yatamani Muungano na Tanzania

    Hili swala la muungano na comoro si geni hata kidogo, waliwahi kumuomba Mwalimu miaka ile ya sitini tuungane kama ilivyo Zanzibar lakini Mwalimu kwa Kuona mbali alikataa akawambia wao wako mbali mno kijografia na Tanganyika mainland enzi hizo, akawaambia utakuwa si muungano kihalisia ila Comoro...
  15. Kiumbemzito

    Madagascar na Utawala - Kenya-Zimbabwe-Comoro

    Lakini hapa kwetu si unaona wagombea wote wa urais wa upizani wameombwa na wapigakura wao , wanachama wao wakagombee ubunge kwenye majimbo yao, ina maana tiari raisi wanae anae wafaa na chama kinacho wafaa! kwa sababu asilimia 82% za JK zilipigwa na watu wote wa CCM na Wa vyama vingine tiari...
Back
Top Bottom