Usichanganye lugha na uongozi. kwani hata Tanzania inatumia lugha ya kimombo kama lugha yake ya kiserikali. Nchi kama Kenya na Uganda wanatumia kimombo kama lugha yao ya taifa. ELEWA KUWA LUGHA NI NYENZO TU YA MAWASILIANO.
Sasa pamoja na nchi hizo na nyingine nyingi kutumia kiingereza au kifaransa, kispain n.k lakini nchi hizo zina michakato huru ya kuchagua viongozi wake wa kitaifa.
Vile vile suala la kiusalama kwa bara ndio maana mnalazimisha muungano nafikiri hilo halimo na limepitwa na wakati. CHA MSINGI NI BARA INANUFAIKA ZAIDI NA MUUNGANO NDIO MAANA MNALAZIMISHA. ZNZ IMECHOKA NA SO CALLED MUUNGANO. NANYI MTOE USHIRIKIANO TUVUNJE MUUNGANO. TUONE NANI ATAHADHIRIKA. Kwa upande wangu wabara mtafadhaika hususan na hiizi vita mbili UDINI na Ufisadi.
Mtauana enyewe kwa wenyewe kutokana na chuki hii ya udini iliyolipuka miongoni mwenu ya Wakatoliki kutaka kuitawala Bara.
Poleni sana
Eeeh kijiwe cha wenye kujihita Great Thinkers, sasa haya ndio majibu na mijadala ya wale wenye kujitia wakuu wa hikma na ilmu kubwa. Nawasikitikia wale wasio ishi kwenye nyumba za Great Thinkers, sijui watakuwa katika hali gani.
Hivi huo waraka wenye nia na madhumuni ya kugawa nchi pamoja na kuvunja umoja wa kitaifa ni ule ule ambao sisi wengine tumeusoma au? Bila shaka hawa wenzetu wamepata nakala tofauti au hawakuusoma kabisa. Ninachokiona hapa ni watu kufuata mkumbo bila hata kujua wanazungumzia nini. Ni ujinga wa hali ya juu kutoa tamko la namna hii. Hii pia yaonyesha jinsi gani watu wetu bado kukomboka kifikra, na ndio maana wajanja kama akina Rostam na Manji wataendelea kuitafuna nchi huku baadhi yetu wakiwatetea kwa nguvu zote.
Ustaadh Hafif naona umenijibu kwa nguvu ila kwanza naomba ujue hata mimi sio Mkatoliki ila ninawaheshimu wakatoliki kama ambavyo ninawaheshimu watu wa dini yoyote, ukiuliza kwa nini wakatoliki wanachaguliwa viongozi na papa nao watakuuliza kwanini na wewe unaongea kiarabu wakati ni muafrika naomba tusifike huko.
Cha msingi tuangalie shida zetu na matakwa yetu mkubwa, pakitoka waraka wa maaskofu wa katoliki alafu ukaleta chuki zako za muungano ndio unaleta shida sasa, nyie wazanzibari ni kama mnaamini mnaonewa au sijui mnaburuzwa, hiyo ni makosa ustaadh, ungejua kama nyie ndio mnanufaika na huu muungano wa alinacha ungeshukuru rafiki, ninaamini kwa akili yako unaweza kujua kabisa zanziba kama nchi muungano ukivunjika mnategemea nini kuingiza kipato? Utalii huo unaoendeshwa na waitalia na watanganyika? Karafuu iliyoshuka thamani? au bandari isiyo na tija hiyo? Kiukweli ukae ukijua viongozi wa bara wanalilia huu muungano sababu ya usalama wa Tanzania bara tu ila kubali mkatae muungano huu unawasaidia nyinyi zaidi kuliko bara kuanzia umeme, elimu, ujanja na kila kitu
Muungano kitu gani bwana?yaani, najuuuuta kuwemo ndani ya muungano ambao wazanzibar wamo ndani yake!washukuru bado kuna kizazi cha nyerere na karume, haki ya mungu siku zinakuja ambapo tutauvunja tu huo muungano hata kwa kutumia uzi wa bui bui, siupendi mie pamoja na wazanzibari wenyewe!
mimi nawashangaa sana hawa wapemba na waunguja kujifanya kuringa na muungano kama vile wabara ndiyo tunanufaika nao sana wakati tunabeba mzigo usiotuhusu hata kidogo, mimi ningependa huo muungano hata leo ufe, na wajue kwamba wote tunawatimua bara hawana faida yoyote kwetu mbali ya majungu na kutaka kubembelezwa kama ma-miss fulani hivi.
Wewe ulieanzisha thread cut the crap na kutuletea chanzo cha hii habari usitufanye sisi ni wajinga umeskia?
SMZ ikikataa Waraka ndio kusema itazuia watu kuusoma? Nadhani hizo ni ndoto za alinacha. Katika ulimwengu wa sasa uwezi kuzuiya waraka kusomwa. I am really sorry for such myopic SMZ leaders.
hata hivyo SMZ ni kama imekumbuka kujifunika shuka wakati kumeshakucha! Waraka umetoka siku nyingi na kama kuusoma watu walishasoma si ajabu hawakumbuki uko wapi sasa. Tena waraka sio kitu cha msingi sana maana waraka unafuatiwa na semina ambazo zinauchambua waraka kwa kina na semina kama hizo zimeshafanyika katika sehemu mbali mbali. SMZ is coming into this game a little bit too late, I am afraid.
Unajua ndugu baada JF kuonekana inatoa hoja za nguvu na ambazo ni mwiba kwa baadhi ya watu, sasa hivi kuna mamluki lukuki. Ukichunguza utaona kuna watu wanajaribu kutumia JF kama sehemu ya mhadhara wa dini, kuna wengine wanajaribu kuifanya JF ni Habari Corporation - wanatoa propaganda za kuwatetea fisadis.
Kwa hiyo unakuta JF inaanza kujawa na watu mamluki hawana hoja za msingi lakini wamo tu, mara udini, mara nini, basi ili mradi watibue mtiririko wa mawazo constructive ya great thinkers.
Lakini pamoja na hizo njama, JF will live longer, I tell them.
KULA TANO BWANA MKUBWA.....yaani wabongo tumewachoka hawa wazanzibar mpaka inatia kinyaa,siku hizi wala hawaendi huko watu ni china au indonesia.aaaaaaaaah hhhuu mungano ufe wabaki na kakisiwa kao,hovyooo.
KULA TANO BWANA MKUBWA.....yaani wabongo tumewachoka hawa wazanzibar mpaka inatia kinyaa,siku hizi wala hawaendi huko watu ni china au indonesia.aaaaaaaaah hhhuu mungano ufe wabaki na kakisiwa kao,hovyooo.
Hivyo uerevu uko wapi kwa kufikiria Zanzibar yenye asilimia karibu 98 Waislamu kupewa muongozo na Kanisa?
Wakati mwengine tunatakiwa tuwe tunatumia akili na sio jazba katika kuangalia haya mambo. Zanzibar ambayo kikatiba ina Taasisi za Kiislamu ndani ya Serikali yake unategemea wataukubali muongozo wa Kanisa? Naona hata hii mada isingekuwepo kwani ni natural kuwa huo waraka hauwezi kukubalika Zanzibar na iliyobaki ni kutowa moshi na shutuma za Bure.
NIOMBE KUULIZA! Wangapi mnaoshabikia waraka wa Waislamu ambao sio Waislamu? Jawabu ni kuwa kila mmoja na lake na ndio maana wale wenye umakini walilipigia kelele hili kwani Waswahili wana msemo " Mtu haachi kutia tonge mdomoni akatia puani". Kila kitu kina mwenyewe na kitu cha jumla kisitolewe na kikundi fulani na ikifanyika hivyo itaonekana kuwa ni chao.
MIMI nadhani wewe ndio ulijaa ujinga na upofu usiyekuwa na uwezo wa kutambua au kuona lipi baya au zuri kwa maslahi ya nchi toka lini kiongozi wa dini akawa mtaalamu wa mambo ya siasa.kwa waraka huo wanapinga hata maandiko ya dini ambapo Yesu alisema ya kaisari muachie kaisari.Hivi wamenogewa nini kutaka kujiingiza kwenye mambo ya siasa.ikumbukwe kuwa roman catholic ilitumika sana na CIA kuangusha ukomunisti.Nyie wazanzibari acheni ujinga wenu; hao mafisadi wanaowatawala ndio chanzo cha matatizo ya maisha yenu eboo!! waraka wa katoliki unawapa mwanga wa jinsi ya kujinasua kutoka kwenye makucha ya wakandamizaji wenu na ndio maana wanaupinga. AMKENI SAA YENU YA UKOMBOZI NI SASA: AMA SIVYO HAO MASULTANI WENU WEUSI{ UKOO WA KARUME NA MWINYI} UTAWATAWALA MILELE NA MILELE NA DAIMA MTAKUWA MAFUKARA!!
MIMI nadhani wewe ndio ulijaa ujinga na upofu usiyekuwa na uwezo wa kutambua au kuona lipi baya au zuri kwa maslahi ya nchi toka lini kiongozi wa dini akawa mtaalamu wa mambo ya siasa.kwa waraka huo wanapinga hata maandiko ya dini ambapo Yesu alisema ya kaisari muachie kaisari.Hivi wamenogewa nini kutaka kujiingiza kwenye mambo ya siasa.ikumbukwe kuwa roman catholic ilitumika sana na CIA kuangusha ukomunisti.
Haya mambo hayatufikishi popote,ni bora kuhimiza shirikisho la Afrika Mashariki ili kumeza hizi kelele zote za Zanzibar.
MIMI nadhani wewe ndio ulijaa ujinga na upofu usiyekuwa na uwezo wa kutambua au kuona lipi baya au zuri kwa maslahi ya nchi toka lini kiongozi wa dini akawa mtaalamu wa mambo ya siasa.kwa waraka huo wanapinga hata maandiko ya dini ambapo Yesu alisema ya kaisari muachie kaisari.Hivi wamenogewa nini kutaka kujiingiza kwenye mambo ya siasa.ikumbukwe kuwa roman catholic ilitumika sana na CIA kuangusha ukomunisti.