Recent content by kitumanga

  1. K

    JamiiForums Tanzania Salamu toka tamil, sri lanka

    una balaaa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya vifo Radio One

    siri ya yote hayo ni ela. uezi fanya ivo kama huna ela.
  3. K

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali kuhusu haki za binadamu,

    tafadhali naombeni mnisaidie kuzifahamu sheria za tanzania zinazohusika na haki za wafungwa kuexpress view zao pamoja na jinsi wanavyohusishwa kuchangia kwenye mchakato mzima wa katiba mpya.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanene wa wastani, walofungasha nyuma (makalio ya kutosha), wenye miguu mikubwa (ya bia)

    Mna kicha a na mtakufa msipoangali.wengine wamevimbishwa na arv.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kuzaa na mke wa jirani yangu...vituko vimezidi.

    yani unataka kuzaa na mke wa kaka yangu. jaribu! omba msamaha kabla ya saa moja kamili kesho. ucpofanya hivyo chagua adhabu kati ya zifuatazo. kushushwa shipa, kupotelewa kabisa na izo zinazokupa kiburi, kufanywa uwe na tamaa ya kukameruniwa, kukameruniwa, kufanywa uwe unatamani kuvaa nguo za...
  6. K

    JamiiForums Tanzania my doctrine

    bila shaka atakua first year certificate ya sheria afu pia ni kilaza some how.
  7. K

    JamiiForums Tanzania It's December: Wanaume wa kibongo pelekeni wake zenu 'vacation'...

    Tatizo la wanawake wengi wa kibongo wamekrem kua wanaume ndo watoaji tu. wenyewe hawatoi yani cha wanaume chao cha kwao ni chakwao peke yao.wanawake acheni maisha ya kukrem na nyie onyesheni upendo kwa wame zenu kwa kuwatoa pia.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Tyson ni nani?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini?

    Acha uoga tongoza ucfikiri mwanamke atakufwata mwenyewe. afu inaelekea hujitumi kutafuta kwanja kama ungekua unajituma ungekuta umepata hata wale manaofuata mikwanja kwan huwezi kutongozwa kama huna kwanja afu pia sio hb.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Star Tv kero tupu

    Tumia kingereza kama kiswahili huwezi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tuheshimiane

    kuna wengine giza ni ulevi kwao.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Soma halafu utoe mchango wako

    u cant chase 2 rats at da same time so imekula kwake. ajipange upya aanze maisha.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Star Tv kero tupu

    Star tv ni kati ya chanel ambazo zinajitahidi sana katika suala zima la kuwafungua macho watanzania. Hi ni kwa kujitahidi kurusha vipindi ambavyo kwa kweli ni mwanga kwa jamii mfano kipindi cha tuongee asubuhi show, bunge, midahalo mbalili mbali, na vinginevyo vingi ambavyo vinaigusa jamii...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako Kuhusu Muungano?

    Hakuna sababu ya kuwa na muungano kama hakuna serikali moja. Na hata wale wanaosema kuwa pawe na serikali tatu yaani sesikali ya mapinduzi Zbar, serikali ya jamuuri ya Tanganyika na serikali ya jamuuri ya muuanga ya Tanzania pia naona hawatakua na jipya kwani bado hapatakuwa na faida yoyote...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CUF: Wabunge 10 kufukuzwa; Maalim Seif adaiwa kudidimiza chama!

    kilichobakia ni muungano kamili wa ccm + cuf kuzalisha chama kipya cjui watakiitaje, vinginevyo hakuna cuf tena tz. tuacheni cdm tuendelee kulisongesha cufccm mtaona vumbi 2. “vita vya panzi furaha kwa kunguru”
Back
Top Bottom