my doctrine

mjombo's

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
494
83
sijajua kwa nini waheshmiwa wengi tu wakiingia kwenye system wanakua less critical au ziii kabisa wakati walipokua nje walikua watu wazuri tu, ningependa kuona watu hawa wa ndani ya system wanakuwa km mh sita bt its contrary to dis, mi naamin kuwa dawa ya moto ni moto kwa sababu ukiwa critical ndani ya system system itakuogopa na kwa maana hiyo itataka uku utilise 4eva nd dis z wat hapening to 666666666666666666............. coz wakimtoa watajinyonga wenyewe kabla ya 2015
 
nilishasema jamani siasa chit chat za nini. Nimeoa juzi tu na mie hizi hunletea mshipa unataka first boni wangu awe za majanini?

Mbona hila hizo jamani!!
 
Yaani hapo najiuliza huwa unafikiriaga kwa kutumia kiuongo au sehemu gani ya mwili.
 
Back
Top Bottom